Hekaya ya Ahmed Ally wa Simba SSC

Hekaya ya Ahmed Ally wa Simba SSC

HYO NDO KAZI YAKE. Asikuumize kichwa
Hafai kuwa Afisa habari, namna anavyo uongelea mpira wa miguu ana fit katika uhamasishaji, awe Afisa uhamasishaji maana vingi anavyo ongea havijawahi kuhusiana na soka ni maswala ya hamasa.
Namna anavyo ongea nikama muhamasishaji wa vikundi vya sanaa za maonyesho.
 
Ilitakiwa awe Meneja wa Miso Misondo Group!
 
Back
Top Bottom