Hekaya za Wahenga

Hekaya za Wahenga

namraroh

Senior Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
114
Reaction score
124
Hakika penye wahenga hapaharibiki neno na pana kila aina ya hekima, ni msimu huu ambapo nimekumbana na maneno na picha mbalimbali juu ya ya wahenga wetu, hata hivyo baadhi ya nukuu, miongozi na ushauri wao bado hatutaki kutumia vizuri,

Tuanza na hili " Ama kwa hakika yule mwanaume achepukaye na mwanamke wa kichaga yu mashakani kupoteza vipande kadhaa vya fedha, bali yeye achepukaye na mwanamke wa kitanga ndoa yake uota mbawa na kupeperuka angani"

Nawakaribisha na wengine watuongezee nukuu na wosia wa wahenga wetu....
 
Back
Top Bottom