Hekima ya Zitto Kabwe

Hekima ya Zitto Kabwe

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
324
Reaction score
649
Na Elius Ndabila
0768239284

Zitto Kabwe ni moja ya vijana waliojizolea sana umaarufu kwenye siasa za 2005-2015.Alikukuwa ni kijana alikuwa anajenga hoja. Uzito wa hoja zake ulimpa mashabiki wengi na kujipatia umaarufu mkubwa. Ninamzungumzia Zitto yule si huyu mlopokaji, mubwatukaji na mzushi. Ninamzungumzia Zitto SMART aliyeshawishi vijana wengi kuipenda siasa hasa za hoja na si vihoja.

Jana nilipoona habari za Prof Assad zikienea kuwa katekwa nilishituka sana. Lakini baadae nilijiuliza maswali mengi, kwa nini habari za Prof Assad anayetoa ni Zitto? Twitter, Instagram, fb na jf alikuwa analipoti Zitto tu. Nilijaribu kuuliza kwa nini Zitto amekuwa front sana kutoa habari za Prof Assad? Nilijibiwa kuwa ni family friend. Nikasema basi sawa kwa kuwa hata yeye kwenye thread yake alisema ameongea na familia yake.

Baada ya muda mfupi Zitto alitwitte kuwa Prof Assad yupo salama na si muda mrefu tutawajuza kinachoendelea. Nilirudi tena kwenye group la whatsapp nikauliza ZITTO anatuachia maswali zaidi. Niliuliza Zitto ameongea na watekaji na wakamwambia Assad yuko salama au ameongea na Prof Assad? Kama ameongea na watekaji amepata wapi namba za watekaji? Nilisema issue hii ni kama ya kutengeneza na Kabwe anaweza kuwa program manager. Niliandika hivyo kutokana na mtiririko wa maandiko yake kwenye mitandao.

Baada ya muda mfupi usiku niliona Twitter ya Prof Assad ikikanusha kuwa yeye yupo na hajatekwa bali yupo na familia yake. Ujumbe huu ulijibu maswali yangu ya aya hii hapa juu kuwa Zitto ni mchochezi, mnafiki na mwingi. Lakini nilijiuliza kwa nini ameandika hivi na kuzua taharuki? Sikupata majibu.

Rai yangu ni kuliomba jeshi la polisi kumkamata Zitto na asaidie kutoa maelezo kuwa alipata wapi uhalali wa kumzushia Prof Assad? Je Zitto alikuwa anafanya mpango wa kumteka Assad ili aisingizie serikali na kukwama au? Ninadhani vyombo vya usalama vinaweza kuanzia hapa. Amefanya kosa kubwa kwa mjibu wa sheria za kimtandao.
 
Sasa namba ya simu unataka huyo Zitto akutumie mzigo yaishe?
 
Watanzania muda wote siasa Mh.Rais kasema tufanye kazi siasa 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwangalia Zitto kwa makini utagundua ana tatazo kwenye saikolojia yake!
Kwanza pesa za kampeni 2020 hana, maana vichochoro vyake vyote alivyokuaga anategemea miaka yote kama vile kuwapiga majungu chadema na kulipwa na ccm, au kuwa mwenyekiti katika kamati za bunge kisha kujibebea mihela vyote hivyo kazibiwa.

Pili, akimuangalia Magufuli na ccm jinsi walivyo kula kwenye selikali za mitaa bila hata kusaza, basi anachanganyikiwa kabisa kwamba 2020 atafanya kazi gani baada ya ccm kutwaa jimbo lake?
Je, ataweza kuajiriwa awe anaamka saa 10 kuwahi kibaruani kama watumishi wengine badala ya raha anayopata sasa hivi akiwa mbunge anakesha Twitter huku akiendelea kula mshahara?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Una uhakika na hiyo account kwamba ni yake au na wewe unakuja kimbelele.

Nasi itabidi tuamini ya Ile account ya magufuli aaliyoandika kuhusu kumpongeza makonda na mambosasa kwa yoyote anayekwenda kinyume na serikali atapewa kesi ya uhujumi uchumi na utakatishaji pesa ili wafie gerezani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeweka nambari ya ttcl sasa hivi ungeshatumiwa ujumbe wa kuitwa kwenye ajira

Ashitakiwe na akishindwa kuithibitishia Mahakama ukweli wa hii taarifa ya taharuki aloitoa jana, AFUNGWE maximum sentence ya hili kosa ili iwe fundisho kwa wazushi wengine wa mtandaoni
IMG_20191226_154638.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Elius Ndabila
0768239284

Zitto Kabwe ni moja ya vijana waliojizolea sana umaarufu kwenye siasa za 2005-2015.Alikukuwa ni kijana alikuwa anajenga hoja. Uzito wa hoja zake ulimpa mashabiki wengi na kujipatia umaarufu mkubwa. Ninamzungumzia Zitto yule si huyu mlopokaji, mubwatukaji na mzushi. Ninamzungumzia Zitto SMART aliyeshawishi vijana wengi kuipenda siasa hasa za hoja na si vihoja.

Jana nilipoona habari za Prof Assad zikienea kuwa katekwa nilishituka sana. Lakini baadae nilijiuliza maswali mengi, kwa nini habari za Prof Assad anayetoa ni Zitto? Twitter, Instagram, fb na jf alikuwa analipoti Zitto tu. Nilijaribu kuuliza kwa nini Zitto amekuwa front sana kutoa habari za Prof Assad? Nilijibiwa kuwa ni family friend. Nikasema basi sawa kwa kuwa hata yeye kwenye thread yake alisema ameongea na familia yake.

Baada ya muda mfupi Zitto alitwitte kuwa Prof Assad yupo salama na si muda mrefu tutawajuza kinachoendelea. Nilirudi tena kwenye group la whatsapp nikauliza ZITTO anatuachia maswali zaidi. Niliuliza Zitto ameongea na watekaji na wakamwambia Assad yuko salama au ameongea na Prof Assad? Kama ameongea na watekaji amepata wapi namba za watekaji? Nilisema issue hii ni kama ya kutengeneza na Kabwe anaweza kuwa program manager. Niliandika hivyo kutokana na mtiririko wa maandiko yake kwenye mitandao.

Baada ya muda mfupi usiku niliona Twitter ya Prof Assad ikikanusha kuwa yeye yupo na hajatekwa bali yupo na familia yake. Ujumbe huu ulijibu maswali yangu ya aya hii hapa juu kuwa Zitto ni mchochezi, mnafiki na mwingi. Lakini nilijiuliza kwa nini ameandika hivi na kuzua taharuki? Sikupata majibu.

Rai yangu ni kuliomba jeshi la polisi kumkamata Zitto na asaidie kutoa maelezo kuwa alipata wapi uhalali wa kumzushia Prof Assad? Je Zitto alikuwa anafanya mpango wa kumteka Assad ili aisingizie serikali na kukwama au? Ninadhani vyombo vya usalama vinaweza kuanzia hapa. Amefanya kosa kubwa kwa mjibu wa sheria za kimtandao.
Pro Assad ana akaunti twita?.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnavyojifanyaga kuwa mnajua maisha ya watu, kama vile mko majuu na mna kila kitu kumbe upo bongo ukila vumbi kama wengine tu[emoji28]
Ukimwangalia Zitto kwa makini utagundua ana tatazo kwenye saikolojia yake!
Kwanza pesa za kampeni 2020 hana, maana vichochoro vyake vyote alivyokuaga anategemea miaka yote kama vile kuwapiga majungu chadema na kulipwa na ccm, au kuwa mwenyekiti katika kamati za bunge kisha kujibebea mihela vyote hivyo kazibiwa.

Pili, akimuangalia Magufuli na ccm jinsi walivyo kula kwenye selikali za mitaa bila hata kusaza, basi anachanganyikiwa kabisa kwamba 2020 atafanya kazi gani baada ya ccm kutwaa jimbo lake?
Je, ataweza kuajiriwa awe anaamka saa 10 kuwahi kibaruani kama watumishi wengine badala ya raha anayopata sasa hivi akiwa mbunge anakesha Twitter huku akiendelea kula mshahara?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Elius Ndabila
0768239284

Zitto Kabwe ni moja ya vijana waliojizolea sana umaarufu kwenye siasa za 2005-2015.Alikukuwa ni kijana alikuwa anajenga hoja. Uzito wa hoja zake ulimpa mashabiki wengi na kujipatia umaarufu mkubwa. Ninamzungumzia Zitto yule si huyu mlopokaji, mubwatukaji na mzushi. Ninamzungumzia Zitto SMART aliyeshawishi vijana wengi kuipenda siasa hasa za hoja na si vihoja.

Jana nilipoona habari za Prof Assad zikienea kuwa katekwa nilishituka sana. Lakini baadae nilijiuliza maswali mengi, kwa nini habari za Prof Assad anayetoa ni Zitto? Twitter, Instagram, fb na jf alikuwa analipoti Zitto tu. Nilijaribu kuuliza kwa nini Zitto amekuwa front sana kutoa habari za Prof Assad? Nilijibiwa kuwa ni family friend. Nikasema basi sawa kwa kuwa hata yeye kwenye thread yake alisema ameongea na familia yake.

Baada ya muda mfupi Zitto alitwitte kuwa Prof Assad yupo salama na si muda mrefu tutawajuza kinachoendelea. Nilirudi tena kwenye group la whatsapp nikauliza ZITTO anatuachia maswali zaidi. Niliuliza Zitto ameongea na watekaji na wakamwambia Assad yuko salama au ameongea na Prof Assad? Kama ameongea na watekaji amepata wapi namba za watekaji? Nilisema issue hii ni kama ya kutengeneza na Kabwe anaweza kuwa program manager. Niliandika hivyo kutokana na mtiririko wa maandiko yake kwenye mitandao.

Baada ya muda mfupi usiku niliona Twitter ya Prof Assad ikikanusha kuwa yeye yupo na hajatekwa bali yupo na familia yake. Ujumbe huu ulijibu maswali yangu ya aya hii hapa juu kuwa Zitto ni mchochezi, mnafiki na mwingi. Lakini nilijiuliza kwa nini ameandika hivi na kuzua taharuki? Sikupata majibu.

Rai yangu ni kuliomba jeshi la polisi kumkamata Zitto na asaidie kutoa maelezo kuwa alipata wapi uhalali wa kumzushia Prof Assad? Je Zitto alikuwa anafanya mpango wa kumteka Assad ili aisingizie serikali na kukwama au? Ninadhani vyombo vya usalama vinaweza kuanzia hapa. Amefanya kosa kubwa kwa mjibu wa sheria za kimtandao.
Professor alimaliza kwa kusema tusichokonoe viporo iwi wewe unajua ukubwa wa sentensi hiyo au umerukwa na akiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U

Zitto Zuberi Kabwe ni miongoni mwa Viongozi wachache tulio nao leo ambao bila uoga wanaweza kumwambia Rais Magufuli pasipo kupepesa macho!

Hata Rais Magufuli anajua Zitto ni mzito kwelikweli!

Bila kelele za Zitto na wenzake hao Prof.Assad na Tito Magoti wangekuwa kwenye historia ya Ben Saanane na Azory Gwanda!

Zitto Kabwe na wenzake wajibu wajibu wa kuwa macho 24/7 kuwalinda Watanzania !
Ben Saanane na Azory Gwanda wame " dead and disappeared " kwa kuwa kina Zitto na wenzake hawakuwa wamejipanga!

Rais Magufuli mbona hajawahi kusema kitu kuhusu huu utekaji wa hovyo,mauaji na kupigwa risasi akina Tundu Lissu.

CCM ya akina Bashiru na Polepole mbona hajawahi kusema lolote wala kukemea?!

Watanzania wanajua kinachoendelea kuliko njaa yako hiyo iliyohamia kichwani!
BRAVO ZITTO ZUBERI KABWE
 
Siasa ukikaa muda mrefu bila kupata kile ulichokuwa unakitaka jiandae kuwa mropokaji, mzushi na kurukwa na akili.

Zitto sio wa kwanza man hatakuwa wa mwisho. Fundisho kwa vijana, msikimbilie siasa kama kazi ya kujipatia kipato bali kuwa mtumishi wa wananchi. Ile ni kazi ya laana kama utaitaka kwa masilahi binafsi. Zile pesa unazopewa zimetoka kwa masikini kupitia makusanyo ya kodi, sasa kama unaingia ili uzipate uzitapanye jiandae tu kuja kukukosa kila kitu baadae....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Zito anatafuta sababu ya yakukamatwa ili ionekane nchi haina demokrasia inakamta na kunyanyasa wapinzani. Ni hicho tu anachotafuta si kingine
 
Zitto ni mchochezi, mnafiki, Zitto alikuwa anafanya mpango wa kumteka Assad ili aisingizie serikali. Amefanya kosa kubwa kwa mjibu wa sheria za kimtandao.
Naunga mkono hoja
P
 
Naunga mkono hoja
P
Usishangae ana clues za kutosha,shida inaanzia hapo unamkamataje huku ukijua na wewe mchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Elius Ndabila
0768239284

Zitto Kabwe ni moja ya vijana waliojizolea sana umaarufu kwenye siasa za 2005-2015.Alikukuwa ni kijana alikuwa anajenga hoja. Uzito wa hoja zake ulimpa mashabiki wengi na kujipatia umaarufu mkubwa. Ninamzungumzia Zitto yule si huyu mlopokaji, mubwatukaji na mzushi. Ninamzungumzia Zitto SMART aliyeshawishi vijana wengi kuipenda siasa hasa za hoja na si vihoja.

Jana nilipoona habari za Prof Assad zikienea kuwa katekwa nilishituka sana. Lakini baadae nilijiuliza maswali mengi, kwa nini habari za Prof Assad anayetoa ni Zitto? Twitter, Instagram, fb na jf alikuwa analipoti Zitto tu. Nilijaribu kuuliza kwa nini Zitto amekuwa front sana kutoa habari za Prof Assad? Nilijibiwa kuwa ni family friend. Nikasema basi sawa kwa kuwa hata yeye kwenye thread yake alisema ameongea na familia yake.

Baada ya muda mfupi Zitto alitwitte kuwa Prof Assad yupo salama na si muda mrefu tutawajuza kinachoendelea. Nilirudi tena kwenye group la whatsapp nikauliza ZITTO anatuachia maswali zaidi. Niliuliza Zitto ameongea na watekaji na wakamwambia Assad yuko salama au ameongea na Prof Assad? Kama ameongea na watekaji amepata wapi namba za watekaji? Nilisema issue hii ni kama ya kutengeneza na Kabwe anaweza kuwa program manager. Niliandika hivyo kutokana na mtiririko wa maandiko yake kwenye mitandao.

Baada ya muda mfupi usiku niliona Twitter ya Prof Assad ikikanusha kuwa yeye yupo na hajatekwa bali yupo na familia yake. Ujumbe huu ulijibu maswali yangu ya aya hii hapa juu kuwa Zitto ni mchochezi, mnafiki na mwingi. Lakini nilijiuliza kwa nini ameandika hivi na kuzua taharuki? Sikupata majibu.

Rai yangu ni kuliomba jeshi la polisi kumkamata Zitto na asaidie kutoa maelezo kuwa alipata wapi uhalali wa kumzushia Prof Assad? Je Zitto alikuwa anafanya mpango wa kumteka Assad ili aisingizie serikali na kukwama au? Ninadhani vyombo vya usalama vinaweza kuanzia hapa. Amefanya kosa kubwa kwa mjibu wa sheria za kimtandao.
Si muache hizi mambo za kutekana ona sasa mnavyohangaika , na damage control
 
Back
Top Bottom