Hekima yangu ni juu yako wewe dada

Hekima yangu ni juu yako wewe dada

Hello
Ladies,

Mi kijana ambaye body yangu ni normal( I mean sio mnene wala mwembamba)
Tall about 6inch, si mweupe wala mweusi.
Nipo chuo fulani Tanzania.

I am finding serious lady So we can have a longterm relationship......
Awe si mweupe si mweusi, I mean normal ila ata akiwa mweupe ni okay.
Mwenye elimu ya chuo au awe chuo/..awe kazini au mfanya biashara.

Ni kwa wote watakao ni PM, nitarudisha majibu kwao...
Shukrani zangu kwa wote.
icon9.png

Angalia hapo kwe red na bold, ndo una maanisha? Kama ni kweli basi utakuwa ajabu la dunia! Kura yangu nitkupigia baada ya Mulugo
 
Hello
Ladies,

Mi kijana ambaye body yangu ni normal( I mean sio mnene wala mwembamba)
Tall about 6inch, si mweupe wala mweusi.
Nipo chuo fulani Tanzania.

I am finding serious lady So we can have a longterm relationship......
Awe si mweupe si mweusi, I mean normal ila ata akiwa mweupe ni okay.
Mwenye elimu ya chuo au awe chuo/..awe kazini au mfanya biashara.

Ni kwa wote watakao ni PM, nitarudisha majibu kwao...
Shukrani zangu kwa wote.
icon9.png

Mkuu hapo kwenye bold ungetumia ngeli yetu tu!
 
Huyo naona kaweka urefu wa kifaa chake inch 6, ila sijui kikiwa kimelala au kimeamka, na sasa sijui yeye mwenyewe atakuwa na urefu gani. Ngoja nisubiri ufafanuzi kabla sijam-pm
 
Mkuu umeingia kwenye Ginesi book of records!! Hongera urefu wa nchi 6 kwa mtu mzima ndio kwanza wewe duniani ngoja niwatumie email TTB(bodi ya utalii) walipeleke swala lako Guinness tunaweza pata watalii wa kutosha!
 
Kama haujui ngeli heri unyamaze sio kubwatuka tu wakati mwenyewe umeishia vidudu.
 
Umejuaje, Karibu sana.....
 
Kama haujui ngeli heri unyamaze sio kubwatuka tu wakati mwenyewe umeishia vidudu.

Unafikiri nisingefanya ivyo ungepata la kuandika, I am professional in ............................................
 
Mkuu umeingia kwenye Ginesi book of records!! Hongera urefu wa nchi 6 kwa mtu mzima ndio kwanza wewe duniani ngoja niwatumie email TTB(bodi ya utalii) walipeleke swala lako Guinness tunaweza pata watalii wa kutosha!

You made my day mkuu, nimefurai sana
 
Wewe Unasema.

KUWA

We used the phrase "becoming lovers" back in the 1950s – to become someone's lover was a big step, whereas it isn't now. Now people just have sexual encounters...............................................

We carried on together for 11 years, and by the time it ended, it was too late. Our relationship ruined my life, because no one else came up to what she meant to me. Why does one like some people and not others? I don't know if it's something you can put your finger on. It's just chemistry in the end.
 
No comment
 
Back
Top Bottom