Hekima za Dkt Benson Bagonza(PhD) Kuhusu Press Ya Dr Gwajima

Ty
 

Attachments

  • Screenshot_20250528-003536.jpg
    433.9 KB · Views: 16
Dr Bagonza! PhD yako unaitendea haki sio akina MLA asusa na wanafiki wenzake! Mungu akubariki sana!
 
Serikali inaacha kuwatumia hawa watu wenye akili inakumbatia wale wasio hata na chembe ya uwezo wa kufikiri nashangaa sana kwa kweli..
 
Maua kwa Askofu Bagonza💐💐💐💐🌻💐💐🌻🌻🌻💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐
Sijajua ana ugomvi gani na Gwajima, mara amuite shetani mara mjinga.
 
Pole zako huwezi muelewa!!
Ok nimeelewa.

Mtu anaewaumbua wenzie kwamba ni watekaji na wauaji wakati walimuibia kura ili atangazwe mshindi huo kweli ni ujinga, ni kukosa shukrani.

Ilitakiwa anyamaze tu au kuwashambulia wakenya kama wanavyofanya wenzie.
 
Vipi ile ya Musukuma aliyotapeliwa online?🤣🤣
Hahaha nilivyoona lile joho na kofia la kwendaa nikajua tuu hapa hamna kitu😂😂😂 How can a std VII failure get a Doctorate of philosophy na huo upupu aliojaza kichwani
 
Oya manigga umekanyaga waya
 
Ok nimeelewa.

Mtu anaewaumbua wenzie kwamba ni watekaji na wauaji wakati walimuibia kura ili atangazwe mshindi huo kweli ni ujinga, ni kukosa shukrani.

Ilitakiwa anyamaze tu au kuwashambulia wakenya kama wanavyofanya wenzie.
Yeye kaamua kua kinyume chake
 
Askofu wa chadomo. Amechagua upande hana uhalali wa kushsuri chochote. Nawapongeza KKKT kwa kumpiga chini. Ni hatari kwa Kanisa kuongozwa na wanasiasa.
 
Ukiacha mihemko ya kisiasa na malumbano ya hoja, kuna jambo moja kubwa ambalo hujaguswa vya kutosha – fursa ya biashara iliyojificha katikati ya migogoro hii ya kijamii na kisiasa.

Wakati wengine wanabomoa na kuzungumza juu ya nani alisema nini au nani kakosea wapi, wapo wachache wanaotumia mazingira haya kujenga mitandao ya kiuchumi, kupenyeza bidhaa, na kuwekeza kwenye maeneo ambayo wengi hawaoni. Joto la kisiasa linaweza kuwa chachu ya biashara kwa mwenye akili ya kibiashara.

Kwa mfano, mazingira haya ya ukinzani na ukosefu wa maridhiano yanahitaji jukwaa huru la mawasiliano – TV, magazeti, matangazo ya mitandao, majukwaa ya mijadala ya kiraia. Huo ni uwekezaji unaoelekea kwenye mahitaji halisi ya soko, bila kusahau maslai ya kisiasa kwa wahusika kuhama chama kimoja kwenda kingine, na kupata nafasi za uongozi.

Pia, migogoro huongeza kiu ya taarifa sahihi, huduma za usalama binafsi, na hata huduma za kisheria na usuluhishi. Kama taifa linahitaji akili kuliko nguvu, basi akili hiyo itumike kwenye ujasiriamali badala ya midahalo ya kihisia.

Macho kwenye Fursa
 
TCRA Na TRA Watakuacha uwe huru?
 
Ok nimeelewa.

Mtu anaewaumbua wenzie kwamba ni watekaji na wauaji wakati walimuibia kura ili atangazwe mshindi huo kweli ni ujinga, ni kukosa shukrani.

Ilitakiwa anyamaze tu au kuwashambulia wakenya kama wanavyofanya wenzie.
Lisu aliokolewa na Mbowe lakini kwenye ukweli unabaki ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…