HEKO: Coca wameongeza ubora, Pepsi wamepunguza bei!

HEKO: Coca wameongeza ubora, Pepsi wamepunguza bei!

hivyo vinywaji havina maana yyte vimejaa sumu, nenda sokoni kanunuwe matunda yako tengeneza juice freshhhhh
 
Napenda kuyapongeza makampuni makubwa ya vinywaji hapa nchini, kila moja kwa kuchukua hatua mbali mbali yenye manufaa kwa walaji (Wanywaji).
Kwa wale wapenzi wa soda, mtakuwa mmenotice kuwa ladha ya soda ya koka imeboreshwa kuliko kipindi cha nyuma, kitu kinachowafanya watu ambao tulikuwa hatupendi soda zao kuzipenda like never before.
Pia mtagundua kuwa kampuni ya Pepsi imepunguza bei ya vinywaji vyao kitu ambacho kimewafanya walaji (wanywaji) kuweza kumudu na hivyo kununua kwa wingi bidhaa zao. Leo nimetoka dukani kuulizia soda za Pepsi mwenye duka kaniambiza soda ziko kwishney ati watu wanazinunua sana.
Cha muhimu ni serikali kupunguza maushuru kwenye vinywaji baridi visivyo na kilevi ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kumudu bidhaa hizi.

Labda itakuwa imeongezea makemikali mengi Yale yanayosaidia kusafisha masink ya choo na vyuma vyenye kutu kung'aa.
 
Back
Top Bottom