Heko CRDB BANK kwa Ubunifu huu!

Heko CRDB BANK kwa Ubunifu huu!

Hakeem makamba

Senior Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
123
Reaction score
41
*HEKO BENKI YA CRDB KWA UBUNIFU HUU*

*Kukua kwa teknolojia kumeleta mabadiliko mengi chanya yanayopelelea maendeleo katika jamii zetu. Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki alikuwa akituagiza tumletee kitabu chake cha benki, vilikuwa kinatunzwa sana ni mara chache utakuta watu wakitembea navyo tofauti na Tembocard ambazo zimekuwa ni sehemu za wallet na maisha yetu ya kila siku. Ni muongo sasa umepita, maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kuchagiza maendeleo ya kiuchumi na kurahisiha maisha yetu. Leo katika harakati zangu za ujenzi wa taifa nimekatiza mitaa flani kupata huduma wakati nikifikiria sina pesa za kulipa katika wallet, nikaona bango la "Scan Lipa Sepa na SimBanking Visa," nitoe heko kwa Benki ya CRDB kwa kuendelea kuwa kinara wa ubunifu kwa huduma na bidhaa, huduma kama hii ya SimBanking Visa itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza foleni katika kufanya malipo na hivyo wateja kutumia muda mchache kupata huduma. Binafsi ninajivunia sana kuona benki hii ya kizalendo ikiendelea kuwa kinara kwa ubunifu.*

*Hongereni sana Benki ya CRDB*
 
Asante tunashukuru.......tumepokea.....
 
Back
Top Bottom