Amesikika Mbowe na kujifagilia kwingi huku akimnanga Lissu.
Kwamba alichokisema kuhusu kung'atuka bila shaka, kimsingi yeye na M7 ni baba mmoja, mama mmoja:
Kwamba kasema yeye ndiye kamfikisha Lissu hapo alipo, bila shaka kuwa yeye ni bora zaidi!
Kwamba hakuna anayeweza kujidhania ni wa muhimu zaidi ndani ya chadema kuliko mwingine.
Hata hivyo akasahau hapo hapo na kusema ni mpumbavu peke yake asiyeweza kuujua umuhimu wake chadema.
Kwa mtaji huu ilikuwa vyema wawili hawa wakapatiwa fursa sawa tukazijua mbivu na mbichi zao!
Pia soma: Kuelekea 2025 - Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa