Heko Kikeke kwa kumhoji Mbowe, kuweka mizania sawa panga kumhoji na Lissu!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Amesikika Mbowe na kujifagilia kwingi huku akimnanga Lissu.

Kwamba alichokisema kuhusu kung'atuka bila shaka, kimsingi yeye na M7 ni baba mmoja, mama mmoja:



Kwamba kasema yeye ndiye kamfikisha Lissu hapo alipo, bila shaka kuwa yeye ni bora zaidi!

Kwamba hakuna anayeweza kujidhania ni wa muhimu zaidi ndani ya chadema kuliko mwingine.

Hata hivyo akasahau hapo hapo na kusema ni mpumbavu peke yake asiyeweza kuujua umuhimu wake chadema.

Kwa mtaji huu ilikuwa vyema wawili hawa wakapatiwa fursa sawa tukazijua mbivu na mbichi zao!

Pia soma: Kuelekea 2025 - Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
 
Hivi Mbowe wa kweli ameenda wapi.Maana yule wa jana aliyekuwa anahojiwa na Kikeke anapata kigugumizi kidogo,hajiamini na anatoa majibu mepesi kabisa.
Hakika Dk Slaa aliifaa sana Chadema.Sasa hivi imepaya mno.
 
Fursa na nafasi sawa wamepatiwa na katiba ya chadema,

wote ni wagombea huru wa uenyekiti wa taifa chadema,

watasimama mbele ya wajumbe na kujieleza, kisha kura zitapigwa kwa uhuru, uwazi na usawa.

Hakuna usawa wa kiwango cha juu kama huu ladies and gentlemen.

hakuna haja ya kubabaika wala kubwekabweka 🐒
 
Tangu lini uongozi wa chama cha siasa ukafananishwa na uongozi wa nchi?

Fuatilieni vyama vikuu vya upinzani Africa viongozi wake huwa wanadumu miaka mingapi.

Nelson Mandela alikuwa leader wa ANC Miaka Mingapi?

Kiiza Besigye

Raila Odinga

UNITA ya Angola

UNPDP ya Hichelema

EFF ya Malema

You cant lead the struggle from the back guys..
 

Katika uliowataja uliwaona kuwafikisha wanachama wao huku?



Wadhani wanachama wa huyu wanamwonea?
 

Bila Shaka:



Au nasema uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…