Naona muhimili wa kurekebisha tabia ulienda hatua moja mbele kwa kasi ya mwanga, na sasa umepiga hatua tatu nyuma...π€£
Unaelewa tofauti ya 2020/21 na 2021/22?Hawakuwa wameyakadiria maji vizuri.
La msingi zaidi ni kuwa wamelazimika kupiga hatua tatu nyuma.
Na bado!
Hapa kwetu kulamba matapishi ni hambo la kawaida sana..π na kesho anakuja kusimama na kusema hamkumuelewa uzuri...π na kisha anapigiwa makofi mengi..π€£Tanzania kama nchi iliyo na watanzania hatupo serious na maisha yetu
Tanzania kama nchi iliyo na watanzania hatupo serious na maisha yetu
Waliyapima kwa macho, sasa walipo tanguliza mguu wakashangaa mwili mzima umezama...πHawakuwa wameyakadiria maji vizuri.
La msingi zaidi ni kuwa wamelazimika kupiga hatua tatu nyuma.
Na bado!
Swali hilo si ukawaulize chawa chawa wenzio Lumumba huko ndugu?Unaelewa tofauti ya 2020/21 na 2021/22?
Sidhani kama ulimuelewa Spika Tulia
Halina Mdee: Waliotajwa kwenye ripoti ya CAG tutawahoji mwezi August! πππSi ulishasema kiswahili ni lugha rahisi isiyohitaji ufafanuzi? Kwani nini usichoelewa hapa?
View attachment 2597175
Kwani palikuwa na nia ipi fiche ndugu?
Hapa napo bado huelewi nini?
View attachment 2597177
Kwani wewe unadhani ni matokeo ya kuisha kwa fungo za Kwaresma na IDD?
Kwani August ni November ndugu? Masheikh wanataka zege lisilale. Waungwana wote wanataka ngoma isilale.Halina Mdee: Waliotajwa kwenye ripoti ya CAG tutawahoji mwezi August! πππ
Hiyo ripoti italetwa ukumbini na Halima Mdee na Mama Kaboyoka mwezi November baada ya kuifanya Kazi mwezi AugustKwani August ni November ndugu? Masheikh wanataka zege lisilale. Waungwana wote wanataka ngoma isilale.
Kulikoni wewe unataka zege lilale ndugu? Au wewe ni katika wale majizi walengwa wa Mh. Mpina?
Kwani mzee Mdee amekupea huyo briefing mkiwa wapi?Hiyo ripoti italetwa ukumbini na Halima Mdee na Mama Kaboyoka mwezi November baada ya kuifanya Kazi mwezi August
Moshi MjiniKwani mzee Mdee amekupea huyo briefing mkiwa wapi?
Moshi Mjini