Heko kwenu nyote mnaosimama na CAG dhidi ya majizi

Heko kwenu nyote mnaosimama na CAG dhidi ya majizi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Yamesikika mengi kuhusu ripoti ya CAG. Haikubaliki jiwe kuachwa juu ya jingine.

FuP0ydiWIAIyqSG.jpeg

Maendeleleo hayana chama hatimaye tuko hapa:

FuP0ydoWwAEocsU.jpeg

Haikuwa rahisi kufika hapo.

Pongezi kwao wote waliosimama imara kupambana na majizi, yatake yasitake. Jizi ni jizi tu, makazi yake ya kudumu ni Kisongo na Segerea huko.

FuZE-xZWcAAEgOZ.jpeg

Masheikh wanaojitambua wamenena.

Vipi wale wengine?
 
Naona muhimili wa kurekebisha tabia ulienda hatua moja mbele kwa kasi ya mwanga, na sasa umepiga hatua tatu nyuma...🤣

Hawakuwa wameyakadiria maji vizuri.

La msingi zaidi ni kuwa wamelazimika kupiga hatua tatu nyuma.

Na bado!
 
Sidhani kama ulimuelewa Spika Tulia

Si ulishasema kiswahili ni lugha rahisi isiyohitaji ufafanuzi? Kwani nini usichoelewa hapa?

FuP0ydiWIAIyqSG.jpeg

Kwani palikuwa na nia ipi fiche ndugu?

Hapa napo bado huelewi nini?

FuP0ydoWwAEocsU.jpeg

Kwani wewe unadhani ni matokeo ya kuisha kwa fungo za Kwaresma na IDD?
 
Si ulishasema kiswahili ni lugha rahisi isiyohitaji ufafanuzi? Kwani nini usichoelewa hapa?

View attachment 2597175

Kwani palikuwa na nia ipi fiche ndugu?

Hapa napo bado huelewi nini?

View attachment 2597177

Kwani wewe unadhani ni matokeo ya kuisha kwa fungo za Kwaresma na IDD?
Halina Mdee: Waliotajwa kwenye ripoti ya CAG tutawahoji mwezi August! 😂😂😂
 
Halina Mdee: Waliotajwa kwenye ripoti ya CAG tutawahoji mwezi August! 😂😂😂
Kwani August ni November ndugu? Masheikh wanataka zege lisilale. Waungwana wote wanataka ngoma isilale.

Kulikoni wewe unataka zege lilale ndugu? Au wewe ni katika wale majizi walengwa wa Mh. Mpina?
 
Kwani August ni November ndugu? Masheikh wanataka zege lisilale. Waungwana wote wanataka ngoma isilale.

Kulikoni wewe unataka zege lilale ndugu? Au wewe ni katika wale majizi walengwa wa Mh. Mpina?
Hiyo ripoti italetwa ukumbini na Halima Mdee na Mama Kaboyoka mwezi November baada ya kuifanya Kazi mwezi August
 
Back
Top Bottom