CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Pamoja na bidhaa kuwa juu,
Kama vile mafuta, sukari, n.k
Vile vile Tozo na kodi nyingi,
Bado sikukuu ya mwaka huu inaweza kuwa ya kipekee kulinganisha na zamani za pontio pilato,
Watu wamesafiri sana,
Bidhaa zimenunuliwa na kuuzwa sana,
Basi tumpongeze!
Kisha tumsihi aboreshe yaliyosalia..
Kama vile
1. Katiba mpya ambayo italeta
2. Tume huru ya uchaguzi itakayosababisha
3. Kesi kama za akina mbowe zisiwepo kisha kutakuwa na
4. Umoja wa Kitaifa baada ya
5. Mafuta ya petrol na bidhaa nyingine muhimu kushuka bei..
Nawatakia Sikukuu njema
KWA wale wanaosafiri na magari Binafsi niwasihi kama wamebeba vilevi basi wavitumie mwisho wa safari