HEKO: mama ameupiga mwingi , sikukuu ya mwaka huu imekuwa na shamra shamra bidhaa zinauzika kweli kweli!

HEKO: mama ameupiga mwingi , sikukuu ya mwaka huu imekuwa na shamra shamra bidhaa zinauzika kweli kweli!

Ndio kuna mmja alinambia jana wengine niliowashuhudià mwenyew ilikua n jumatano Mkuu
Basi kuna uwezekano kuwa wameamua kuhakikisha hili suala la malimbikizo kitabaki kuwa historia.Itapendeza sana wakilipa kwa wote wanaostahili.Itaondoa manunguniko yasiyo na sababu za msingi.Kwa kufanya hivyo watakuwa wameupiga mwingi sana mkuu!
 
Huwa inashangaza sana yani serikali ina billion 69.5M za kukodi system ila haina billion 30 zakulipa malimbikizo ya madeni😅 tena ya watumishi wake!

Hivi 30B si ni hela ya kufumba macho tu
 
  • Thanks
Reactions: EZJ
Huwa inashangaza sana yani serikali ina billion 69.5M za kukodi system ila haina billion 30 zakulipa malimbikizo ya madeni😅 tena ya watumishi wake!

Hivi 30B si ni hela ya kufumba macho tu
Kinachoshangaza sio hicho mkuu.Billioni 30 zipo na zilishatengwa,wanaostahili yaani watumishi 18,000 wanawajua kabisa kwa idadi.Sasa kinachoshangaza kwa Mh Mchengerwa na timu yake,wanashindwaje kuingiza kwenye mfumo ili wote tunaodai tupate stahiki zetu?Wanaingizaje kidogo kidogo kwa mafungu???Mwisho wa siku watajinasibu wamelipa,kumbe na changa la macho lipo.Au wanashindwa nini kuweka majina ya wanaostahili kulipwa hadharani kama kipindi cha huko nyuma?Ili kama kuna mtu aliesahaulika afuatilie???Bado yapo mengi sana yanayoshangaza na kutia shaka
 
Kinachoshangaza sio hicho mkuu.Billioni 30 zipo na zilishatengwa,wanaostahili yaani watumishi 18,000 wanawajua kabisa kwa idadi.Sasa kinachoshangaza kwa Mh Mchengerwa na timu yake,wanashindwaje kuingiza kwenye mfumo ili wote tunaodai tupate stahiki zetu?Wanaingizaje kidogo kidogo kwa mafungu???Mwisho wa siku watajinasibu wamelipa,kumbe na changa la macho lipo.Au wanashindwa nini kuweka majina ya wanaostahili kulipwa hadharani kama kipindi cha huko nyuma?Ili kama kuna mtu alieaahaulika afuatilie???Bado yapo mengi sana yanayoshangaza na kutia shaka
Huyo msenge utakuta kachonga na wahasibu hela wameipokea ila wameweka fixed deposit mahali ili wale faida 😅 kila baada ya miezi 3 wanalipa kiasi flani wanakausha.

Tatizo la nchi hii ni ujanja ujanja kila sekta. Watu wanawaza ufisadi tu.
 
  • Thanks
Reactions: EZJ
Asimamie ulipwaji wa Malimbikizo ya watumishi ufanyike kwa haki.

Wote tunahitaji na stahiki zetu.Sio wachache waneemeke wengine tusote sio sawa.

WAZIRI MCHENGERWA,SITAKI KUAMINI KUWA NA KUJINADI KOOOTE KULE ULIPOKUWA KIGOMA DECEMBER HII 2021.BADO TUPO WA MWAKA 2019 TUNAODAI MALIMBIKIZO YA MISHAHARA,LICHA YA KUTUHAKIKISHIA KABISA ZIPO BILIONI 30 KWA AJILI YA MALIPO KWA WATUMISHI 18,000.

KWA KWELI NI BORA HATA USINGETUAMBIA,UKIZINGATIA NI MADAI YA MUDA MREFU.NA PIA IMANI TULIONAYO JUU YAKO.HAKIKA UMETUANGUSHA SANA.

HII NI FEDHEHA KUBWA SANA KWAKO NA KWA WIZARA YAKO.

JIPANGE NA ULISIMAMIE HILI VYEMA,MAANA LIPO KWENYE UWEZO WAKO.
Duh! Mkuu 2019 tu unalalama hivi, mbona wapo wa miaka zaidi ya 10 na wametulia tu wanasubiri.
 
Huyo msenge utakuta kachonga na wahasibu hela wameipokea ila wameweka fixed deposit mahali ili wale faida 😅 kila baada ya miezi 3 wanalipa kiasi flani wanakausha.

Tatizo la nchi hii ni ujanja ujanja kila sekta. Watu wanawaza ufisadi tu.
Inawezekana pia.Mama asipokuwa mkali kwa mkwewe,atamharibia sana.Uhakiki wa madeni ufanyike kwa miaka,ulipaji wa madeni ufanyike tena kwa miaka??????Sio utakuwa uzwazwa wa kiwango Cha lami????
 
Duh! Mkuu 2019 tu unalalama hivi, mbona wapo wa miaka zaidi ya 10 na wametulia tu wanasubiri.
Hao wa zaidi ya miaka kumi,inawezekana wameshachezeshewa kekundu.Mimi ninasemea stahiki yangu,ambapo wenzangu tuliopandishwa nao pamoja walilipwa Malimbikizo yao mwaka jana wakati wa likizo ya korona.Na wengine wamelipwa December hii 2021 baada ya maagizo aliyoyatoa Waziri Mchengerwa kule Kigoma.Hayo ya miaka kumi nyuma siwezi yasemea kwa kweli,maana siyajui!
 
Inawezekana pia.Mama asipokuwa mkali kwa mkwewe,atamharibia sana.Uhakiki wa madeni ufanyike kwa miaka,ulipaji wa madeni ufanyike tena kwa miaka??????Sio utakuwa uzwazwa wa kiwango Cha lami????
Mimi nadai tangu 2015, tukajazishwa ile minimum sijui ndo Areas ila wapi, nmeamua kusahau.
 
  • Thanks
Reactions: EZJ
Waafrika huwa tunaongoza ama kusifia sana (kwa sababu tuna sifa ya kujisahau) au kulalamika sana (kwa sababu tuna sifa ya kutotaka mabadiliko yaanzie kwangu)
 
Mimi nadai tangu 2015, tukajazishwa ile minimum sijui ndo Areas ila wapi, nmeamua kusahau.
Inatakiwa ufuatilie.Maana kuna kamchezo walikuwa wanakacheza,wanalipa wachache wengine wanapigwa changa la macho.Naimani sasa hivi hilo halitakuwepo,maana wengi nilipokuwa nao wamelipwa,na sisi wengine bado tunasubiri kulipwa.Angalau kuna dalili nzuri.Tofauti na huko nyuma.Watu walikuwa wanyama sana hususani kwenye ngazi za halmashauri
 
Hiyo nyingine inalipwa mwezi upi Chief?
By mid January wote wanaodai watakuwa wameshalipwa. Sasa ukiona haujalipwa waone maafisa utumishi mapema sana au wakati huo nawe fuatilia, Rais ameshatoa pesa yote ya madai ya nyuma Sasa kama details zako zimeenda na zipo sawa basi by mid January mtakuwa mmeshalipwa wote maana pesa ipo sio ya kwenda kuomba tena.
 
  • Thanks
Reactions: EZJ
Inatakiwa ufuatilie.Maana kuna kamchezo walikuwa wanakacheza,wanalipa wachache wengine wanapigwa changa la macho.Naimani sasa hivi hilo halitakuwepo,maana wengi nilipokuwa nao wamelipwa,na sisi wengine bado tunasubiri kulipwa.Angalau kuna dalili nzuri.Tofauti na huko nyuma.Watu walikuwa wanyama sana hususani kwenye ngazi za halmashauri
Ukiweza omba kumuona msaidizi wa waziri umpatie details zako na malalamiko yako maana hizo pesa za muda mrefu na hela imeshatoka ukizubaa kuna wahuni wataila
 
By mid January wote wanaodai watakuwa wameshalipwa. Sasa ukiona haujalipwa waone maafisa utumishi mapema sana au wakati huo nawe fuatilia, Rais ameshatoa pesa yote ya madai ya nyuma Sasa kama details zako zimeenda na zipo sawa basi by mid January mtakuwa mmeshalipwa wote maana pesa ipo sio ya kwenda kuomba tena.
Duuh big up sana mkuu umetupa matumaini ni kama tunalipwa kesho
unaonekana uko well informed na ishu hii .Endelea kutu update[emoji16]
 
Duuh big up sana mkuu umetupa matumaini ni kama tunalipwa kesho
unaonekana uko well informed na ishu hii .Endelea kutu update[emoji16]
Appreciated brother, pesa ipo inatolewa kwa awwmu tu sababu wanahakiki na wanaendelea kutoa .

Just stay put pesa mtapata kama details zako zilienda sahihi.
 
  • Thanks
Reactions: EZJ
Back
Top Bottom