Mwanafunzi huru
Member
- Jan 7, 2023
- 79
- 80
Wasalaam ,
Hongera mhe Mbunge kwa kutetea tatizo kubwa la ajira hapa nchini hasa ktk Wizara ya Maliasili wakati akichangia Wizara ya Utumishi & Utawala Bora kwamba tatizo la ajira nchini limekuwa janga kubwa ambalo viongozi na watawala wamekuwa hawalipi uzito na umuhimu wake na hasa kigezo cha umri wa kuanzia kuajiriwa kwamba uanzie umri wa 18-25 na wakati hizo ajira hazikutangazwa
Mfano kijana wa chuo cha wanyamapori Mweka analipa ada hadi milioni 8 na zaidi anakaa mtaani haajiriwi na kuna hifadhi 4 zilizopandishwa hadhi kuwa hifadhi za Taifa na mapori tengefu mengi nchini ambayo yana upungufu mkubwa wa watumishi na ukanda wa Kusini ambapo wana tatizo kubwa la uvamizi wa wanyamapori kama Tembo na wengineo lakini vijana wamekuwa hawapewi ajira ukiachilia mbali ahadi ya Rais kwenda kwa Waziri Mkuu Majaliwa ya kutoa kibali cha kuajiri wahifadhi & askari wanyamapori 6,000 bado halijatekelezwa na Umma kujulishwa.
Nawasilisha