sabuwanka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 691
- 759
Kwa takribani wiki nzima nilikuwa makao makuu Dodoma kwa shughuli binafsi , nimebahatika kutembelea mji wa Serikali, Nzuguni, Ihumwa , Stendi Mpya, Udom, Mipango, Mbwanga nk.
Nimegundua kasi ya ujenzi wa miundo mbinu ni kubwa kuliko awali na kuna ongezeko kubwa la watu ambao wanajenga nyumba za kisasa, mfano mwaka 2008 nzuguni ilikuwa ni sehemu isiyovutia.
Leo kuna majumba mazuri ya kisasa, hii yote ni baada ya serikali kuamua kwa dhati kuhamia Dodoma, kwa hili Hongera JPM na serikali yote ya awamu ya 5, tukiwa na miji mikubwa Kama Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya, na Sasa Dodoma ni maendeleo kwa Taifa