Heko Sam Mahela; mtangazaji wa television anayekuja kwa kasi nchini!

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
349
Sam Mahela ni kijana bora kabisa anayechipukia kwa kasi zaidi ktk tasnia ya habari nchini.
Kijana Sam asipoonekana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 pale ITV usiku wangu ukosa raha.Zaidi sana navutiwa na jitihada zake za kusaka habari za watu waloo ktk mazingira magumu na kusikizisha sauti zao kwenye jamii ili wasaidike.Ni mtu anajali sana watz wenzake.Aidha Sam ni mcheshi na mtaratibu awapo kazini.Wenzake pale itv mikocheni kabla hawajamuona nyuso zao huwa kavu,akitokea wote utasikia wanaruka kwa furaha wakisema "Saaaam..." .Nampongeza kijana huyu na pia namtakia kila la heri ktk maisha yake yote.Big up Sam Mahela,itv.
 
Yap.mie pia namkubali sana huyu mtangazaji.kaza buti sam.
 
unajua kuwa unayempongeza wenzako wanampumulia kisogoni? Kama hujui pole sana
 
unajua kuwa unayempongeza wenzako wanampumulia kisogoni? Kama hujui pole sana

Hivi huu mchezo ni kweli umeshakuwa ni wa kawaida au sasa watu wanachafuliana majina? Maana sasa kila mtu anatajwa kuwa shoga hataree...
 
Hivi huu mchezo ni kweli umeshakuwa ni wa kawaida au sasa watu wanachafuliana majina? Maana sasa kila mtu anatajwa kuwa shoga hataree...

Huyu Sam Huu Mchezo wa kupumuliwa aliuanza akiwa TRENET TV ya mwingira, kuna na mwezake alikuwaga Praise Power Radio, hivi karibuni nikasikia amejiunga na CLOUDS FM jina lake HARRIS KAPINGA, ila hawa ndugu ndio kama hivyo tena. Ila kwenye repoting SAM MAHELA anafanya vizuri sana.
 
Yote kwa vyote jamaa yuko vizuri kwenye kazi yake,kanifurahisha zaidi wakati anareport habari ya Ufoo Saro wakati anaagwa mama yake.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Kupumuliwa kisogoni na ubora wa utangazaji wake kunahusiana vp,ka vp na wewe njoo upumuliwe ili uwe mtangazaji bora....wivu mwingine wa kijinga sana. Jamaa yuko vizuri kwenye fani yake.
Punguza hasira mkuu, au nawe uko chama kimoja nae kiasi kuwa imekuuma sana? Mwenzio data anasema hivi

hii habari naiskia leo mara ya 4....

Hebu sasa soma maelezo ya kina hapa chini:


Una hoja nyingine tena Mgunduziforeva ? Haya ni maisha tu take it easy and relax!
 
Last edited by a moderator:
Yote kwa vyote jamaa yuko vizuri kwenye kazi yake,kanifurahisha zaidi wakati anareport habari ya Ufoo Saro wakati anaagwa mama yake.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

yes alitoa short speech ya kuuaga mwili kwa aliye msikiliza na uhakika alinot kwamba Sam mahela yuko serious na anatambua kitu gani anakifanya yes good sana
 
Ohoo hii ni hatari sana!
 
Kumbe ni kweli eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…