TRIPLE H
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 651
- 349
Sam Mahela ni kijana bora kabisa anayechipukia kwa kasi zaidi ktk tasnia ya habari nchini.
Kijana Sam asipoonekana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 pale ITV usiku wangu ukosa raha.Zaidi sana navutiwa na jitihada zake za kusaka habari za watu waloo ktk mazingira magumu na kusikizisha sauti zao kwenye jamii ili wasaidike.Ni mtu anajali sana watz wenzake.Aidha Sam ni mcheshi na mtaratibu awapo kazini.Wenzake pale itv mikocheni kabla hawajamuona nyuso zao huwa kavu,akitokea wote utasikia wanaruka kwa furaha wakisema "Saaaam..." .Nampongeza kijana huyu na pia namtakia kila la heri ktk maisha yake yote.Big up Sam Mahela,itv.