Piga hata [emoji122][emoji122][emoji122] tafadhari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio jambo dogo hili ni swala la kujipongezaShukrani sana tutapambana kufa na kupona
Hahaaa. Ila zimechelewa hizi pongezi. Sababu saa hii tunafikiria jinsi ya kuchomoka mechi za makundi ujue. π
Sijayaona Makundi yamepangwaje Mtoto. Naomba niambie πππ mko na kina nani?Shukrani sana tutapambana kufa na kupona
Shaka ondoa dada Simba angurumapo wote kimyaHahaaa. Ila zimechelewa hizi pongezi. Sababu saa hii tunafikiria jinsi ya kuchomoka mechi za makundi ujue. [emoji41]
Na mmepambana kweli,mmetoboaShukrani sana tutapambana kufa na kupona