AKASINOZO
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 1,367
- 2,219
Kama mtanzania mzalendo nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa klabu ya Simba kumaliza mwaka 2018 ikiwa miongoni mwa klabu 16 bora barani Africa.
Pongezi kwa Mo na Uongozi makini na mashabiki wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Pongezi kwa Mo na Uongozi makini na mashabiki wote
Sent using Jamii Forums mobile app