Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Hayo ni yako lakini kodi utalipa tu na miradi itagharamiwa kwa kodi zetu.TRA inayoendeshwa na genge la wahalifu ni ya kipuuzi 🚮
Fedha na vitu vingine vyote ni vya Samia. The only exception ni Deni la Taifa, ambalo categorically sio la Samia!Ili kuondoa utata wa nani anayegharamia miradi nchini, TRA hivi sasa imeweka tangazo kwenye runinga likionesha kuwa miradi yote inagharamiwa na kodi zetu. Lucas Mwashambwa na magarasa wenzako heshimuni hilo tangazo la serikali.
Nami niungane na wewe ni kitu kizuri walau sasa tumeweza jua kodi yetu nini ilichofanya maana tulizoea kuona barabara hii imejengwa kwa msaada wa kodi za Wamerekani. Nashauri TRA pia kama wakiweza waweke mabango miradi yote iliyojengwa na kodi zetu ili tufahamu na kujivunia cha kwetu. Hongereni TRA ila pia viwanja vya ndege na sgr mmeweza pia kuweka screen ikionyesha kodi ya Watanzania imefanya niniIli kuondoa utata wa nani anayegharamia miradi nchini, TRA hivi sasa imeweka tangazo kwenye runinga likionesha kuwa miradi yote inagharamiwa na kodi zetu. Lucas Mwashambwa na magarasa wenzako heshimuni hilo tangazo la serikali.
Lucas Mwashambwa na magarasa wenzako heshimuni hilo tangazo la serikali.