Heko Waziri Ndumbaro kwa kujibu kwa heshima hoja za wabunge

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali.

Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa wakitoa kauli za dharau bungeni wanajiamini na nini?

Mwigulu : Mimi Dokta yangu ni ya darasani sio ya heshima, mimi ni mbobezi wa uchumi tujadili mambo ya waganga wa kienyeji

Bashe: Bunge hili ndio limesababisha matatizo makubwa ya wakulima na sitokaa niwasikilize juu ya ninachoamini

Makamba: Kama hamkupenda mimi kuwa waziri au Samia kuwa rais tuongee mengine nikifeli mimi imefeli nchi

Makamba akaenda mbali zaidi akachelewa bungeni wakati hotuba ya wizara yake ikiendelea hadi bunge likaahirishwa kumsubiri aingie ukumbini.
 
Akina Ndumbaro mnakuja kujipigia debe juku?
 
Katoka siasa za mpira TFf Hadi akafungiwa kujihusisha na mpira kaibukia ubunge Hadi uwaziri..na kuanza kujipigia debe Jf...maisha safari ndefu
 
Back
Top Bottom