Heko za Sikukuu πŸŽ„ kwa Wadada na Wamama....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Habari za mchana wadau...

Shukrani nyingi zimuendee Maulana kwa kunipa kibali cha kuiona siku ya leo nikiwa mzima na mwenye afya tele πŸ™.

Najua kila mtu ana namna yake ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi. Kwa upande wangu, huwa napenda kupika pilau la viungo vizima vizima. Shurti pilau isindikizwe na kachumberi, shurbati na rosti la πŸ— lililotupiwa mbogamboga na ndizi mzuzu zilizokatwakatwa mithili ya kiepe πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ taaaaamuuuuuuπŸ˜‹πŸ˜‹

Salamu za pekee ziwaendee wadada na wamama walioingia jikoni kupika chochote kwa ajili ya Sikukuu.

Karibuni mle kwa picha πŸ˜‰.

Pilau

Rosti πŸ— + mambogamboga.

Skukuu njema 😍.
 
Kinywajiii cha kulainisha koo hujakiweka wakati kilikuwepo
Heri ya xmass
 
Mimi ndo wamegoma kula mchana ndo naingia sasa kujipikilisha wanachokitaka sijui nitamaliza saa ngapi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila ntaleta picha
 
Mimi ndo wamegoma kula mchana ndo naingia sasa kujipikilisha wanachokitaka sijui nitamaliza saa ngapi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila ntaleta picha

Weka ufundi wako wote mdada, wenyewe wanasema cooking is an art.

Wabarikiwe wataokula chakula chako.

Twasubiria picha.
 
Mimi ndo wamegoma kula mchana ndo naingia sasa kujipikilisha wanachokitaka sijui nitamaliza saa ngapi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ila ntaleta picha
Wewe unaeanza sasa hv naomba nianze kujongea eneo husika
 
Asante sana, kwa wote tulionhia jikoni.

Nami nimepika pilau na kitimoto safi kabisaa.
 
Kasinde mpenda vitamu.....

Nashushia chokoleti πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Ya kuvuta Mahabaaa...
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…