KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Taka choda..😋Which one....!!!🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taka choda..😋Which one....!!!🤣🤣🤣🤣
Mke nimempa hela ya kununua vitu vya kupika amekataa kuingia jikoni kisa sijampa hela ya kwenda saloon.Habari za mchana wadau...
Shukrani nyingi zimuendee Maulana kwa kunipa kibali cha kuiona siku ya leo nikiwa mzima na mwenye afya tele [emoji120].
Najua kila mtu ana namna yake ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi. Kwa upande wangu, huwa napenda kupika pilau la viungo vizima vizima. Shurti pilau isindikizwe na kachumberi, shurbati na rosti la [emoji203] lililotupiwa mbogamboga na ndizi mzuzu zilizokatwakatwa mithili ya kiepe [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] taaaaamuuuuuu[emoji39][emoji39]
Salamu za pekee ziwaendee wadada na wamama walioingia jikoni kupika chochote kwa ajili ya Sikukuu.
Karibuni mle kwa picha [emoji6].
View attachment 2057136
Pilau
View attachment 2057135
Rosti [emoji203] + mambogamboga.
Skukuu njema [emoji7].
Duuh..bac hiyo ishanipiga chini maybe nianze safari kesho ya kuitafuta mwaka mpyaHuku ni chijijini aka mkoani...
Ulitakiwa uanze safari wiki moja kabla.
Kwani nimeleta shida mdada au ndio umeanza figisu za kuninyima huo msosi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]njoo taratibu kwa madaha
Acha fujo kasie kwanza unakesi kubwa sana! Taka choda ya mama..😂Fcuk you....!!!!!
Are you you...!????😀😀😀
Aahahahahhaaa ......
Choda ya baba ya mama...!??😋😋
Xnbab khdhj nkuhsj ukala yote..😅Faaaaaaaaak yuuuuuuuuuu
Hiyo kesi ishushe hapa nnavopenda keesiiiii.....🙏🙏🎄😇
MmhWadada wanaopikaga hivi huwa ni wagomvi halafu wanapenda rigi.
Mke nimempa hela ya kununua vitu vya kupika amekataa kuingia jikoni kisa sijampa hela ya kwenda saloon.
Kumbe wamesalimiwa walioingia jikoni tu bas sawaa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
View attachment 2057473Nimemaliza