pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ngai fafa! [emoji15][emoji15][emoji15] Kama alivosema MK254 tusije tukaangalia hela tu. Mazoezi huwa wanafanya mwaka mzima na pia huwa wanajinyima sana. Hizi starehe ndogo ndogo ambazo zinaweza zikawadhuru kiafya huwa hawazitambui. Kazi ni kukimbia tu na kurarua kinembe kila siku. [emoji38]Nike inampatia ksh.100M kila mwaka.
Hongera, aje awekeze japo watu wengi huwa tunaangangalia tuzo na malipo, lakini ukimfuatilia maisha yake utakuta ni mtu anapitia mazoezi makali na kujinyima, hivyo hongera sana.