Mwezeshaji1
JF-Expert Member
- Sep 26, 2023
- 237
- 565
- Thread starter
-
- #21
Au upate ya kibarazani? Waje wao sio wewe, ila asubuuuuuhi tayari umeanzaAmina.kuna muda nataka nipike bidhaa nitembeze ila Sasa huku gongo huku mzigo changamoto.wale vijana wa kuajiri nao naambiwa wajeuri anaeweza akauza akatokomea zake huko na mauzo.wengi wameibiwa
Yeah option ni moja tu as long as bado tunapumua mkuu!Tukaze, wanasema mtafutaji hachoki
Hii point, hapo kwenye kuishi ni kujipa mapumziko au kula bata??Hii Dunia usipokua makini unaweza kujikuta muda wako wote uliyouishi hapa Duniani uliutumia kwa kukimbizana na hela tu na kusahau kabisa kuishi!
Hela zitafutwe ila usisahau "Kuishi" utafutaji wa hela hua hauna mwisho ila maisha yana mwisho.
Asante ndugu ni kukazna tu,ndo mana wanwake wa miaka hii vichwa vya moto sana mtu unapambana kuliko mwanaume 🤣🤣🤣Pole ndugu yangu
Kuna muda hata balansi haipatikani, kazi asubuhi, mchana na jioniHii Dunia usipokua makini unaweza kujikuta muda wako wote uliyouishi hapa Duniani uliutumia kwa kukimbizana na hela tu na kusahau kabisa kuishi!
Hela zitafutwe ila usisahau "Kuishi" utafutaji wa hela hua hauna mwisho ila maisha yana mwisho.
Ni kweli ila bado tunahitaji kutimiza mengine mengiChamsingi mkono uende kinywani
😂 njaa haina jinsiaAsante ndugu ni kukazna tu,ndo mana wanwake wa miaka hii vichwa vya moto sana mtu unapambana kuliko mwanaume 🤣🤣🤣
Ukweli, hata hivyo tujipe neema.Bado mambo
Ni kweli ila bado tunahitaji kutimiza mengine mengi
Nafikiri ktk kuongeza nguvu kwenye mitaji yetu ndio mtihani mkubwa sana kwetu sote, kikbwa ni kujaribu kukilinda hicho kidogo ulichokianzisha mpaka kifikie mahala pakukuwezesha kuyahudumu mahutaji yako na jamii yako, Mungu akubariki sana na kukupa uwezo na uvumilivu wa kuthubutu bila kuchoka.Nafanya.lakini najikuta natamani kukifanya kwenye ubora zaidi.na kuhitaji wa nguvu ndipo unapotokea.maana hata kile nkifanyacho hakikidhi mahitaji
Muuza nyanya angekaa tu angeuza?
Akitembeza na mzigo kichwani door to door ndo anauza
Na wengine Wana mitaji wanafungua magenge wanauza
Vyote viwili mkuu,yani uwe na maisha mengine nje ya utafutaji,unatenga muda wako wa kuishi,unafanya kitu ambacho nafsi yako inapenda,maisha sio kukimbizana na hela tu,kila siku watu husema "Natengeneza kesho yangu" cha ajabu hiyo kesho hua haifiki,Hii point, hapo kwenye kuishi ni kujipa mapumziko au kula bata??
Mkuu hii ni mbaya sana kwa afya ya mwili na akili,haya sio maisha,haya sio malengo ya maisha,Kuna muda hata balansi haipatikani, kazi asubuhi, mchana na jioni
Mtaa umepoaa..ntafikiria Hilo piaAu upate ya kibarazani? Waje wao sio wewe, ila asubuuuuuhi tayari umeanza
Very useful,ujumbe mzuriVyote viwili mkuu,yani uwe na maisha mengine nje ya utafutaji,unatenga muda wako wa kuishi,unafanya kitu ambacho nafsi yako inapenda,maisha sio kukimbizana na hela tu,kila siku watu husema "Natengeneza kesho yangu" cha ajabu hiyo kesho hua haifiki,
Yachukulie maisha simple tu hata kama unapitia magumu,relax and enjoy the life,
Uhai una thamani kubwa sana kuliko kitu chochote kile,as long as una afya njema,don't forget to live your life,maisha ni mara moja tu,ukifa hurudi tena,usiishi maisha yako yote kwa kujikatia tamaa,kujiona mnyonge au kujiona wewe ni masikini,uhai peke yake ni utajiri mkubwa sana.
AminaNafikiri ktk kuongeza nguvu kwenye mitaji yetu ndio mtihani mkubwa sana kwetu sote, kikbwa ni kujaribu kukilinda hicho kidogo ulichokianzisha mpaka kifikie mahala pakukuwezesha kuyahudumu mahutaji yako na jamii yako, Mungu akubariki sana na kukupa uwezo na uvumilivu wa kuthubutu bila kuchoka.
Pole sana dada ,umeshawahi kuwaza kupata mwenza labda msaidizane majukumu?Mi ndo Sina Hela kabisa,bado nguvu kipengele
Ni kama nalionaga kaburi Lile pale..
Mungu tu ananiokoa kupitia malaika wake
Tumia hiyo rasilimali uliyopewa na MunguMi ndo Sina Hela kabisa,bado nguvu kipengele
Ni kama nalionaga kaburi Lile pale..
Mungu tu ananiokoa kupitia malaika wake
Furaha hua ina mwisho,utasema nikipata kitu fulani nitafurahi,ni kweli utafurahi kwa muda kisha kitu hicho utakiona ni cha kawaida tu,halafu utahamia kwenye kitu kingine na kusema ukikipata utafurahi....furaha hua ni ya muda tu,furaha ya kweli haisababishwi na material possessions,Very useful,ujumbe mzuri
Sawa nyingine tunajisahau
Ila Sasa Kuna watu Wana skip kuishi Kwa soda wakiwekeza huo muda kutafuta wakapate ya kunywa Hennessy wakiamini ndio watafurahia zaidi ama furaha zaidi ipo huko.
Unashaurije?
Akitokea sawaPole sana dada ,umeshawahi kuwaza kupata mwenza labda msaidizane majukumu?
Naelewq shida unayoipitia ila hata sisi wengine tuna makubwa ya kutuhitaji tuwe waume za watu tusaidizane hapa na pale au unasemaje dada?