Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

Best advice ni kuenjoy every moment ya furaha unayoipata..ukipata fursa ya kufurahia maisha na uhai furahia
Hata kama Kwa kidogo
 
*
Mathayo 6:25-34
25 Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?

26 Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kupita hao?

27 Ni yupi kwenu ambaye akijisumbua aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja?

28 Na mavazi, ya nini kuyasumbukia? Fikirini maua ya mashamba, jinsi yameavyo; hayafanyi kazi, wala hayasokoti

29 nami nawaambia, ya kwamba hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo la hayo.

30 Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?

31 Msisumbuke, basi, mkisema, Tule nini? Au Tunywe nini? Au Tuvae nini?

32 Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote.

33 Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.

34 Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake.*
 
Usipokuwa mvumilivu unaweza kukufuru bure, maana Kila unachofanya kujipatia kipato unakuta kinagoma

Na ukienda kwa Mganga, hataki damu ya Kuku tena, anataka utoe Watoto ๐Ÿ™Œ

Anyways, Maisha ni foleni aliimbaga Bonny Mwaitege ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Yani hapa nimelala usiku masaa mawili hivi, embu nijiegeshe asubuhi hii, leo nijipe off (mchana najua kazi itaendelea, ila nilale asubuhi hii)
Usipoijali afya yako sasa hivi,basi itakusumbua sana huko mbeleni,

Sasa hivi wewe na afya mnaitafuta hela,baadae itakua wewe na hela mnaitafuta afya.
 
Tuendelee kupambana, hakuna kukata tamaa. Maisha hayajawahi kuwa rahisi, wewe unapitia hili, mwingine anapitia lile. Kila mtu ana changamoto yake hapa duniani. Bahati mbaya dunia haina huruma, tuzidi kupambana hadi pumzi ya mwisho.
 
Mie nimekuelewa sanaaa.
 
Best advice ni kuenjoy every moment ya furaha unayoipata..ukipata fursa ya kufurahia maisha na uhai furahia
Hata kama Kwa kidogo
Hapa ndio point ilipo dada mkubwa kuishi maisha ya shukrani kila siku kuamka tu asubuhi ni utajiri mkubwa sema wengi tumeji condition utajiri kwenye material things only kumbe utajiri ni kuwa na upendo, afya njema. Chukulia mfano wa kina chaba wahazabe fedha kwao si kigezo cha furaha yao Trump anamsemo wake anasema never ever lose momentum
 
Tuendelee kupambana, hakuna kukata tamaa. Maisha hayajawahi kuwa rahisi, wewe unapitia hili, mwingine anapitia lile. Kila mtu ana changamoto yake hapa duniani. Bahati mbaya dunia haina huruma, tuzidi kupambana hadi pumzi ya mwisho.
Kabisa dunia haitakuwa na huruma mfano kama umefuatilia ishu ya Jaffrey Epstein nadhani utaelewe na kwanza mfumo wa dunia hauwahitaji watu kama hao wenye huruma nilishangaa sana kusoma post mahala kuwa utajiri mkubwa upo kwenye umaskini yani kuwa tu maskini wa kifkra unaopelekea umaskini halisi kuna NGO kibao na mataifa kibao yanadili na huo umaskini lakini anaefaidika ni hao wanao deal nao na siyo hao maskini ๐Ÿ˜ญ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ