Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

Pole mkuu,usipate depresheni ngoma ngumu almost kwa kila mtu πŸ˜…
Huu msemo wa ngoma ngumu kwa kila mtu huwa naupinga sana hasa pale ninapopitia msoto.

Ngoma ngumu kwa kila mtu ni kudanganywa ,kufanywa mwehu na kupumbazwa kihisia tu .

Nikiwa napitia msoto , mtu akiniambia ngoma ngumu kwa kila mtu , namwona ni mfitini , mnafki , mpumbazaji , mbabaishaji , hana msaada , mchoyo na ni adui namba moja😁😁😁
 
Ni kweli kwamba mtu akipitiq machungu na changamoto ngumu anamuona kila mtu snitch, mbaya, mfitini, ana roho mbaya nk.

Ila kiukweli kila mtu anapitia challenges, nadhani hata wenye pesa zao wana kitu wanapitia at some point.

Hivi kuna furaha ya kudumu kweli??
 
Msemo wa kila mtu anapitia hali ngumu kipesa sio msemo wa kweli ni kujifariji tu kihisia
 
Hapa nimelenga kipesa kama mada ya hela inavyosema
 
Mkuu nimesema ALMOST kwa kila mtu ngoma ngumu sio wote πŸ˜…
 
Nilishawahi kujiuliza hili swali mkuu, yaani ni kama tumezaliwa kutatua changamoto hadi tunakufa πŸ˜‚
 
Inaweza isiwe kila mtu, ila generally watu wanapitia magumu.
Inaweza kuwa kweli ila hako kamsemo kisaikolojia ni kakujifariji tu ili mtu emotions ziwe kawaida tu , ila ukweli wa mambo mimi sina pesa ila kuna watu wanapesa mpaka hawajui wazifanyie niniπŸ˜†
 
Mkuu nimesema ALMOST kwa kila mtu ngoma ngumu sio wote πŸ˜…
Haka kamsemo ni kamatumaini mkuu, ila ukweli wa mambo leo naenda kulala njaa hata kama wewe umesema hivyoπŸ˜…πŸ˜…
 
Na pesa haijawahi kutosha hivi kuna mtu alishafikia akasema hizi nilizopata zinanitosha akatelax tu πŸ’πŸΌβ€β™€οΈ
Pesa haijawahi kumtosha mtu, JMK angetulia zake msoga kama ingekuwa imemtosha. Ni kupambana hadi pumzi ya mwisho kuitafuta na kuhakikisha iliyopo haipungui.
 
Mkuu nimesema ALMOST kwa kila mtu ngoma ngumu sio wote πŸ˜…
Mimi ni mbunge wa kwimba , nafika jimboni kwangu , anasimama mtu mmoja anadai "jimbo letu hatuna maji safi na salama"

Mimi kama mbunge nanyanyuka huko nasema Msipate depression ngoma ni ngumu Almost kwa kila mtu 😁😁

Wewe kama mwananchi utamfikiria vipi ndugu mbuge?
 
Pesa haijawahi kumtosha mtu, JMK angetulia zake msoga kama ingekuwa imemtosha. Ni kupambana hadi pumzi ya mwisho kuitafuta na kuhakikisha iliyopo haipungui.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ pesa huwa zinatosha ila akili ya matamanio yetu ndio huwa mara zote haitoshi bwashee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…