Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

Umetoa mfano wa wabunge, hawa jamaa wana stress sana sema tu hatujui. Wana madeni lukuki hasa ya mikopo mikubwa, wanapambana sana kubaki bungeni ili mambo yasiharibike. Wengi wakiwekwa bench tu hali inakuwa mbaya hapo hapo.
 
Mh...shindii, kijana wangu ana miaka 20 niweje mtoto?
Najua uzinzi ulianza kitambo, lakini kijana umri huo hajafikisha. Japo ndio umri wa last born wangu.
 
anapoza machungu wananchi,hujui kuna faraja ukigunduq hauteseki peke yako πŸ˜…
 
anapoza machungu wananchi,hujui kuna faraja ukigunduq hauteseki peke yako πŸ˜…
Yale yake ya umeme kukatika kwako halafu unaenda chungulia na kwa mwingine kama upo , ukiona hakuna unaridhika tu😁
 
Reactions: naa
Em wazee watuambie,na wao enzi zao mtanange ulikua mkali hivi hivi? Maana dah 😒
Mtanange wa kufunga mikanda enzi ya MUSSA baada ya vita ya Kagera haukuwa mchezo!! Kulikuwa hakuna mapene na madukani hakuna vitu!! Mungu bariki wakati ule TAIFA lilikuwa moja limeungana nyuma ya mzee Kifimbo. Ingetokea ndio leo ingekuwa mtihani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…