LOGORIDDIM
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,470
- 972
Sasa Nafaka mbona tunaumbuana tena aisee? Najua ktk hiyo idadi utakuwa umenijumlisha na mimi. Kwani si tumekubaliana kuwa hii kitu tuifanye kwa siri kubwa mno bro. Usikute kitendo cha kupokea pesa yako halali kwa kupitia PayPal/safaricom ni kosa la kimtandao...Hata mimi nina paypal ya kenya na watu zaidi ya 10 nnaowafahamau wana paypal za kenya.
Sisi tuko ado ado