Nimeangalia clip moja ya kichekesho, bwana mmoja kaja na briefcase ina mahela kamkuta jamaa na mke wake. Kaanza kutoa mabulungutu ya hela akampa jamaa ili ammwachei mke wake. Jamaa akagoma lakini kadri mabulungutu yalivyoongezwa ndivyo jamaa akalegea na kuyachaukua mabulungutu hayo then anamwachia mkewe jamaa aende naye.
Ndivyo ilivyo kwa bwana Rostam, yaani mbaya zaidi amezitoa hela kwa jinsia hiyo hiyo, unafikiri Rostam atapata tena vikwazo? Ndiyo maana kadiriki hata kupondea waziwazi utaratibu wa JPM kuengua walioongoza kura za maoni wakati hata sasa imefanyika tena hivyo hivyo. Mbaya zaidi Rostam anaelekea kuzeeka vibaya, anaanza kulaumu kibano juu ya mafisadi cha awamu ya tano akijisahaulisha kuwa hata katika awamu ya nne yeye mwenyewe aliachia ubunge kwa kuamua kujivua gamba. Yaani kujisahaulisha tu!