Mfano mzuri bro wangu akinunua hisa za nmb mwaka 2006 za laki tatu tu. Mpaka saivi anazo.mjda huo hisa ilikuwa ni sh 600 saivi hisa ni 1800 muda huu tunaongea hapa. Anadai kila mwaka hakosi 60k na huku amekaa tu Mana ni mvivu hataki kufanya kazi,Kama benki ikienda poa ikakua hii mpaka kizazi Cha kumi watazikuta.
So aliyenunua za 3M anapata 600k, aliyenunua za 30M anapata 6M kwa mwaka na huku amekaa tu Mana ni wavivu hao kufany kazi.
Njoo aliyenunua 300M anapata 60M as gawio. Hizi Mambo ni Tamu Sana sema zinahitaji hela ndefu na ujue forecast as weatherman anavyocheki kuwa kesho Kuna mvua kutokana na ishu Fulani yaani unakuwa Kama mchawi fulani kwa hapa bongo tunavyopenda kuita.
Ila hizi Mambo ni ngumu Sana balaa yaani sio kirahisi watu wanavyoaminishwa.
Ni Kama unasoma bachelor tatu kwa mpigo like md , Engineering na laws so sio easy wanavyojazana majority Ila ni very simple yaani simple sawa na kumsukuma mlevi.
Soma Soma Soma live your dream no matter what.
If you want to be greater you've to do greater things