Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
- Thread starter
-
- #21
Your purpose your life. Live your life do what you love, don't do coz sm1 advised you. Unampopenda manzi hakuna anayekuambia Bali ni internal voice na internal natural Nuclear force inakusukuma,it's like magnetic force when is attracting magnetic materials none is bothered to advise it to do its work.Sio kila kitu cha kujifunza lakini kwani nikijifunza nitapungukiwa nini?
Labda kama hizo pesa hazina kazi,na mvivu.Yani 300M upate 60M,wakati iyo 60M unatengeneza kwa mwezi kwa huo mtaji.Mfano mzuri bro wangu akinunua hisa za nmb mwaka 2006 za laki tatu tu. Mpaka saivi anazo.mjda huo hisa ilikuwa ni sh 600 saivi hisa ni 1800 muda huu tunaongea hapa. Anadai kila mwaka hakosi 60k na huku amekaa tu Mana ni mvivu hataki kufanya kazi,Kama benki ikienda poa ikakua hii mpaka kizazi Cha kumi watazikuta.
So aliyenunua za 3M anapata 600k, aliyenunua za 30M anapata 6M kwa mwaka na huku amekaa tu Mana ni wavivu hao kufany kazi.
Njoo aliyenunua 300M anapata 60M as gawio. Hizi Mambo ni Tamu Sana sema zinahitaji hela ndefu na ujue forecast as weatherman anavyocheki kuwa kesho Kuna mvua kutokana na ishu Fulani yaani unakuwa Kama mchawi fulani kwa hapa bongo tunavyopenda kuita.
Ila hizi Mambo ni ngumu Sana balaa yaani sio kirahisi watu wanavyoaminishwa.
Ni Kama unasoma bachelor tatu kwa mpigo like md , Engineering na laws so sio easy wanavyojazana majority Ila ni very simple yaani simple sawa na kumsukuma mlevi.
Soma Soma Soma live your dream no matter what.
If you want to be greater you've to do greater things
Kumbuka iyo pia hisa ama value ya your stocks zinapanda pia.Labda kama hizo pesa hazina kazi,na mvivu.Yani 300M upate 60M,wakati iyo 60M unatengeneza kwa mwezi kwa huo mtaji.
Hakuna kubembelezana na mteja. So unajua ukiwa na bidhaa unataka kuiuza lazima utumie nguvu Sana Tena Sana ushawishi.Labda kama hizo pesa hazina kazi,na mvivu.Yani 300M upate 60M,wakati iyo 60M unatengeneza kwa mwezi kwa huo mtaji.
sina kipaji chochote mkuu...ni jina tu hilo.Mkuu una talanta gani
Vigezo na masharti vikojePesa nyingine zipo huku, kama una pesa lakini. Risk 0% View attachment 1941131
Ni wewe kuwa na pesa tu halali.Vigezo na masharti vikoje
Hii iko vp mkuuPesa nyingine zipo huku, kama una pesa lakini. Risk 0% View attachment 1941131
Hiyo biashara ipo kwenye mabenk mengi ya kibiashara. Cha muhimu uwe na fedha ndefu ndio utafaidi. Angalia benk inayotoa interest nzuri wape pesa wakopeshe ule faida na pesa yako iko pale pale.Hii iko vp mkuu
Hiyo biashara ipo kwenye mabenk mengi ya kibiashara. Cha muhimu uwe na fedha ndefu ndio utafaidi. Angalia benk inayotoa interest nzuri wape pesa wakopeshe ule faida na pesa yako iko pale pale.
Kuongea rahisi sn ehh...Hapo 50M inakupa 4m kwa miezi mitatu, toa 10% ya Jamhuri unachukua 3.6m sawa na 1.2m kwa kila mwezi bila kelele. Ukiwa na 100M unachukua 8M kwa miezi mitatu toa 10% ya Jamhuri unabika 7.2M sawa na 2.4M kwa kila mwezi, yaani unalala na kuamka saa sita mchana
Nimesema wenye hela, kama wewe huna wenzako wanazo na wanaweka bank. Kuna watu kuwa na akiba 400m, 800m, 2b kwenye account ni kawaida sana. Gari tu analotembelea la 250m bado gari za ziada zinazopack backyard, Nyumba tu anayoishi 350m. Sasa wewe kama huna pesa sio kila mu yupo hivyo hivyo. Hio biashara ipo ni halali na wengi wenye fedha za ziada wanaifanya hiyo biashara na mabank.Kuongea rahisi sn ehh...
Kuwa na extra 50 ama 100M ni suala dogo?.
Sijakataa na nnatambua kuwa ni halali kbs...Nimesema wenye hela, kama wewe huna wenzako wanazo na wanaweka bank. Kuna watu kuwa na akiba 400m, 800m, 2b kwenye account ni kawaida sana. Gari tu analotembelea la 250m bado gari za ziada zinazopack backyard, Nyumba tu anayoishi 350m. Sasa wewe kama huna pesa sio kila mu yupo hivyo hivyo. Hio biashara ipo ni halali na wengi wenye fedha za ziada wanaifanya hiyo biashara na mabank.
Thank youuKwahio unasema hisa ni as safe as a House ? (Even Houses are not that safe) ?
What happened to Enron ?
Unaongelea Amazon ? Hindsight is 20/20; How many companies like Amazon did not make it ?
Ndio maana nilisema wenye pesa zaoSijakataa na nnatambua kuwa ni halali kbs...
Issue ni ilivyosemwa kiutani utani..
Itoshe kusema kuwa hii ni biashara kwa ajili ya matajiri..na sio mtu yoyote..
Ukiwa na pesa zaidi utavuna zaidi
Ngoja waje kukupa muongozo.Nasoma comments...