Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Acha kutusingizia,virobs vya mchele,Mahindi,Maharage nk,tunsvyowaletea hamshuru tuu watu kushindia chpsi!Ukifatilia familia nyingi zinaishi kwa kutegemea ndugu zao waliopo dar es Salaam.
Hivyo mipango mikakati kwa serikali kuendelea kuwekeza DSM iendelee bila kusita.
Mimi Moja ya wanafuika wa kuwa na ndugu wanaoishi DSM
Asante nipo mkoani kwa sasa mbarikiwe Sana watu DSM
Aisee Ila dar inachochea uchumi wa mikoani?.Acha kutusingizia,virobs vya mchele,Mahindi,Maharage nk,tunsvyowaletea hamshuru tuu watu kushindia chpsi!
Lakini na nyie si mnapewa mazawadi ya vyombo vya plastic kutoka China!? Mbona wao watu wa Dar hawasemi!!??Acha kutusingizia,virobs vya mchele,Mahindi,Maharage nk,tunsvyowaletea hamshuru tuu watu kushindia chpsi!