Hela ya kujikimu 30,000/=

Hela ya kujikimu 30,000/=

stev0100

Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
36
Reaction score
10
Jamani kilombero wanalipa 30,000 kwa siku kama fedha ya kujikimu kwa walimu wapya. Hela yenyewe wanalipa za siku tatu tu eti nyingine baadae.
 
wanaogopa wakilipa zote walimu watakimbia nadhan hata mwaka jana huenda walifanya hivo
 
"Unyonge wa walimu ndio kichaka cha maofisa wa halmashauri kufisadi."
 
Back
Top Bottom