JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Huyu mdada sijui ana matatizo ya aina gani yani akiniambia "nikuambie kitu" basi ataomba hela. Hata kama sijamkubalia au kumkatalia ataanza na mi msg kutwa kucha kukumbushia utazani kuna hela ananidai aliniazima.
Au anaweza tu akaamua akatuma msg "nakuja leo" utafikiri labda kuna hela kaweka huku aje kuchukua, na akija ghafla usipompa hela atakudai kama ulimkopa vile.
Au anaweza tu akaamua akatuma msg "nakuja leo" utafikiri labda kuna hela kaweka huku aje kuchukua, na akija ghafla usipompa hela atakudai kama ulimkopa vile.