for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,397
- 4,436
Kwan walichanga[emoji23][emoji23][emoji23] mpe hela acha kulalama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan walichanga[emoji23][emoji23][emoji23] mpe hela acha kulalama.
AiseeNa wewe ukimwambia "nikuambie kitu?" Unamuomba mbunye
...au Vicoba? [emoji5][emoji5]Yani mtu kakuomba hela ila anavyokudai utafikiri katumwa na benki au majembe auction
...Ndio huwa Wanaishia kuendewa Kwa Mpalange hawa !!![emoji20][emoji20]Mkuu mbona kama wamzungumzia x wangu ..yaani alikua hivo hivo aisee..analalamikaa utazan kanikopesha .akidaiwa hata ela mchezo lawama kwangu kama mm ndio nimemwambia acheze..luku ikiisha naulizwa atalala vipi bila umeme mpaka analia. Mwisho niliona anamatatizo ya kisaikolojia maana ilikua too much
[emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe ukimwambia "nikuambie kitu?" Unamuomba mbunye
[emoji23][emoji23][emoji23] shemelaah wee hutoagi hela?Aelekee vikoba investment ltd! Huko ndio wanagawa hela
Hana hela huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa si umpe hela kama chini anakupa, au ni hela hauna
Anavoopewa mbunye walichanga? [emoji23][emoji23]Kwan walichanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo sio demu huyo ni FINCA.
Hela nampa mke wangu tu[emoji23][emoji23][emoji23] shemelaah wee hutoagi hela?
Yupo kwa shemeji yake anakunywa uji na kuangalia tamthilia ya Huba 😅 usimchukulie seriousWewe una hela nyingi eeh?
Yaan mtu mwenye hela huwezi kukuta anaanzisha nyuzi kama hizi, afu ukute ela anayolalamikia ni efu 10,20,15, basi akitoa anaona katoooooaa🤣🤣🤣Hana hela huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakunaga hela nyingi, hela itosheleze mahitaji ya kawaida ya kibinadamu ata ikiwezekana na ya anasa iwepo kwani nan asopenda vitu vizuriWewe una hela nyingi eeh?