Yani mtu kakuomba hela ila anavyokudai utafikiri katumwa na benki au majembe auctionHadi tunaogopa kusalimia au kuitika salamu
Ukianzisha kusalimia tu au kuitika salamu kifuatacho ni kilio na kusaga meno, dahπ
Utasumbuliwa utafikiri una figo yake
Aelekee vikoba investment ltd! Huko ndio wanagawa hela[emoji23][emoji23][emoji23] mpe hela acha kulalama.
π π πYani mtu kakuomba hela ila anavyokudai utafikiri katumwa na benki au majembe auction
Sasa si umpe hela kama chini anakupa, au ni hela haunaIyo ananipaga tu bila kizuizi
Eti dah! HA HA HAAAHadi tunaogopa kusalimia au kuitika salamu
Ukianzisha au kuitika tu salamu kifuatacho ni kilio na kusaga meno
Utasumbuliwa utafikiri una figo yake dah