Hela ya kuomba unanipelekesha utafikiri unanidai

Hakunaga hela nyingi, hela itosheleze mahitaji ya kawaida ya kibinadamu ata ikiwezekana na ya anasa iwepo kwani nan asopenda vitu vizuri
Mimi nikiangalia muvi za wazungu naumia sana sijawahi kuona demu anapiga mzinga boyfriend wake sisi sijui wafrika tumelaaniwa na nani
 
Mimi nikiangalia muvi za wazungu naumia sana sijawahi kuona demu anapiga mzinga boyfriend wake sisi sijui wafrika tumelaaniwa na nani
Unaishi kwa movie za wazungu kwani we mzungu? We fanya kadri ya utamaduni uliopo kama huna ela subiri upate wa kuvumilia hali yako. Ishi kama ilivozoeleka mwanamke ni wa kuhudumiwa tu hata km atajiweza vipi jitaidi ata apate chupi ya efu3 ndo utakuwa mwanaume
 
Hapana waafrika mmejizoesha kutegemea k kama kitega uchumi najua tatizo ni umaskini na hili ni tatizo la nchi nyingi za third world, scandnavia na nchi zilizoendelea mademu hawana mambo yenu hayo kupiga mizinga
 
Yaan mtu mwenye hela huwezi kukuta anaanzisha nyuzi kama hizi, afu ukute ela anayolalamikia ni efu 10,20,15, basi akitoa anaona katoooooaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtaani kwao anakuita Danga lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…