GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na Mashabiki wa Timu yako wengi wao wasivyo na Akili wakaanza Kuamini kuwa Five Five za Kubahatisha FC watamsajili Kiungo Mshambuliaji Makabi Lilepo na hatimaye dirisha la Usajili limepita Jana hajaja.
Haya haraka sana tafuteni Pesa za Kuwalipa akina Morrison na Doumbia kabla hawajaenda FIFA na Safari hii mkapigwa Rungu Takatifu kwani Timu yenu sasa hivi itaanza kuitwa Dhulumati Danganya Kutwa FC sawa?
Na Ligi Kuu ya NBC ikirejea tu unakutana na wenye Njaa na Hasira akina Namungo FC na Azam FC hivyo tutaona kama Utawaokota kama Ulivyowaokota hao Mabwege wa Mwenge Kituoni na wale Malofa wa Mlalakuwa Kawe na Kutwa unajisifia na Kutamba wakati Tanga ulikutana na Mbabe wako King of the Jungle na akakunyoosha ipasavyo na Nyama Kubwa akaila Yeye huku Wewe ukibakia Kusonya tu.