Hela ya kuwalipa akina Morrison na Doumbia huna huyu Makabi Lilepo ndiyo Ungempata?

Umemaliza kila kitu.
 
Wanangoja kuvunja kibubu.Watalipa madeni kwa mafungu au tutapitisha vikapu vya michango.
 
Mti wenye matunda always unafunguliwa nyuzi jf, kwanini usitengeneze kwako ukaachana na mambo ya jirani?
 
Asante sana Kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…