Hela ya makinikia kugawanywa kwa kila mtanzania milioni 2

Medecin

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
8,221
Reaction score
22,496
Rais Magufuli amesema .. MIGODI imetuibia MAPATO ya Tsh Trillion 108.
Amesema hizo hela Tuzidai .. Na kuna tetesi zikipatikana zitagaiwa sawa kwa Raia Watanzania wote million 50.
Hapo kila Mtanzania atapata Million 2..

"Ila mimi kama Kuna mtu yupo tayari anipe saiv milioni 1 na nusu tu, alafu mgao wangu wa hio milioni 2 ukitoka atachukua yeye yote".
 
Viongozi wa hii nchi wanajua asilimia 70 ya wananchi ni wajinga ndio maana wanafanya haya wanayo yafanya leo
Angalia Kenya akili zao ziko juu wanasiasa na siasa haziwachezei
 
Waoooooh


















































[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Kama kawaida pesa yangu nitanunulia Noah
 
mie sizitaki wala msinipe.
 
Mimi ntakupatia hizo hela unazozitaka ila lazma umuweke mkeo rehani ili ukizipata unirudishie mkuu. Njoo pm kwa mawasiliano zaidi
 
Mimi ntakupatia hizo hela unazozitaka ila lazma umuweke mkeo rehani ili ukizipata unirudishie mkuu. Njoo pm kwa mawasiliano zaidi
namuweka huyu mama angu mkubwa a.k.a makinikia
 
Miye nipe laki mbili tu leo, akizileta na kugawa chukua hizo zangu
 
Viongozi wa hii nchi wanajua asilimia 70 ya wananchi ni wajinga ndio maana wanafanya haya wanayo yafanya leo
Angalia Kenya akili zao ziko juu wanasiasa na siasa haziwachezei
Elimu bureee na kichwani tunakuwa bureee! Ni shida Mkuu.
 

Unachemka wewe. Tukipata hizo hele hatusubiri idhini ya bunge wala kamati yoyote itoe kipaumbele cha matumizi yake.

Hata hivyo ujue tunaweza kuwa tunazidai kwa kupata popularity lakini matumizi yake yako mioyoni mwetu!. Usishange tunajenga madaraja ya kutoka kwetu kupitia kati kati ya ziwa tukajiungamanisha na Mwanza, Uganda, Kenya, Rwanda, na Burundi!!!.

Unaweze ukajifunza tunapohamasisha watu watoe rambirambi halafu zikikusanywa tunaondoka na kapu, namtu asihoji kwa sababu tunamatumizi nazo!.

Chezea genge letu wewe!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…