Hela ya makinikia kugawanywa kwa kila mtanzania milioni 2

Unachemka wewe. Tukipata hizo hele hatusubiri idhini ya bunge wala kamati yoyote itoe kipaumbele cha matumizi yake.
Vipaumbele vinatuchelewesha tu
 
Vipaumbele vinatuchelewesha tu

Na havina maana!. Kuruhusu bunge, kamati sijui nani apange vipaumbele ni kuingiliana kimadaraka. Sisi ndiyo tunajua nini cha kufanya na haturusu mtu atuambie lolote. Na kwa kuwa mahsikii, sasa atakayekuja na kiherehere cha kutuambia tufanye nini kabla ya kingine kwa kiwango gani na maslahi ya nani sijui, tutamshughulikia!.

Ila kwa sasa mtuombee, na tushirikiane kudai hizi fweedha!. Tukishazipata, muendelee kutuombea katika matumizi lakini kweli atakayeanza kutohoji, tutamshughulikia bila huruma! Msitujaribu, baada ya kupata hisi fuwedhaaaaaaa!
 
Haaaaa Haaaaa Haaaaa Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…