Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipaumbele vinatuchelewesha tu
Haaaaa Haaaaa Haaaaa Kweli mkuuNa havina maana!. Kuruhusu bunge, kamati sijui nani apange vipaumbele ni kuingiliana kimadaraka. Sisi ndiyo tunajua nini cha kufanya na haturusu mtu atuambie lolote. Na kwa kuwa mahsikii, sasa atakayekuja na kiherehere cha kutuambia tufanye nini kabla ya kingine kwa kiwango gani na maslahi ya nani sijui, tutamshughulikia!.
Ila kwa sasa mtuombee, na tushirikiane kudai hizi fweedha!. Tukishazipata, muendelee kutuombea katika matumizi lakini kweli atakayeanza kutohoji, tutamshughulikia bila huruma! Msitujaribu, baada ya kupata hisi fuwedhaaaaaaa!
"Ila mimi kama Kuna mtu yupo tayari anipe saiv milioni 1 na nusu tu said:Mkuu mimi nipe elfu 5 tu, itakayobaki chukua wewe