muhinda-moja
Senior Member
- Sep 22, 2014
- 117
- 9
Kwa first year nahisis mshawahi kusikia wakubwa zenu wanaongelea boom,kama ww ni mdadisi basi nahis unajua,ok!
Nilichotaka kuongelea ni matumizi ya hilo boom, yaan hiyo tsh 7500 kwa siku,kiufupi ndugu zangu kwa matumizi ya kawaida kwa mwanafunzi hiyo hela ni kubwa ILA ukibugi tu kwenye matumizi basi utaiona ni ndogo sana kwani ikumbukwe hata kama ukipewa tsh 10000,ila ukawa na matumizi mabaya nayo itaisha,
JE WAHITAJI KUJUA NAMNA UTAKAVYOTUMIA HIYO HELA NA HATIMAYE UIONE KUBWA NA PENGINE UBAKIWE NA SALIO?
Nakaribisha maswali!