Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wadau naomba kuuliza.Hivi kuna chuo kikuu chochote ambacho mpaka sasa wameshawalipa wanafunzi wao ile hela ya "special faculty requirement"?Kama kuna waliolipwa naomba watujuze ili nasi wengine tuweze kuhoji ni kwanini mpaka sasa bado hatujalipwa hiyo hela?
Taarifa zilizopo ni kwamba,bodi ya mikopo ilishaidhinisha kutolewa kwa fedha hizo?Sasa swali fedha hizo zimeshafika vyuoni?Na kama zimefika inakuaje mpaka tarehe ya leo(8/01/2013) wanafunzi hawajapokea hiyo hela?Mwaka wa masomo umeanza tangu mwezi wa kumi mwaka jana ila ni hiyo hela pekee ambayo mpaka sasa bado haijalipwa?
Jina la chuo nimelihifadhi kwanza kwasababu sijui kama ni hiki chuo chetu tu au ni vyuo vyote.Ningekuwa na uhakika kama vyuo vingine wamashalipa hiyo hela kwa wanafunzi wao hakika jina la chuo ningelitoa hapa hadharani.