Hela ya "special faculty requirement" imeshapelipwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu?

Hela ya "special faculty requirement" imeshapelipwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wadau naomba kuuliza.Hivi kuna chuo kikuu chochote ambacho mpaka sasa wameshawalipa wanafunzi wao ile hela ya "special faculty requirement"?Kama kuna waliolipwa naomba watujuze ili nasi wengine tuweze kuhoji ni kwanini mpaka sasa bado hatujalipwa hiyo hela?

Taarifa zilizopo ni kwamba,bodi ya mikopo ilishaidhinisha kutolewa kwa fedha hizo?Sasa swali fedha hizo zimeshafika vyuoni?Na kama zimefika inakuaje mpaka tarehe ya leo(8/01/2013) wanafunzi hawajapokea hiyo hela?Mwaka wa masomo umeanza tangu mwezi wa kumi mwaka jana ila ni hiyo hela pekee ambayo mpaka sasa bado haijalipwa?

Jina la chuo nimelihifadhi kwanza kwasababu sijui kama ni hiki chuo chetu tu au ni vyuo vyote.Ningekuwa na uhakika kama vyuo vingine wamashalipa hiyo hela kwa wanafunzi wao hakika jina la chuo ningelitoa hapa hadharani.
 
Mkuu suala la hela yote kuidhinishwa na bodi ni siasa tu,ukipekua humu utaona thread ya UDOM wanafunzi 1,800 hawajalipwa hela ya kujikimu tangu mwezi octoba.Hata vyuo vingine kuna wanafunzi hawajalipwa hadi leo huku bodi ya mikopo ikiwa haitoi jibu la maana.Isitoshe hata wanafunzi wa nje,mfano CHINA walikuwa hawajalipwa tangu wiki mbili zilizopita bila shaka kumbukumbu za malalamiko zimo humu JF ukisearch utaziona. Kuhusu hela ya SFR siyo vyuo vyote vilivyopokea hela kwa sasa,ila kwa upande wa SAUT-Mwanza hela wameipokea na wataanza kusaini kuanzia tarehe 10/01/2012 kwa mujibu wa chanzo changu cha habari.
 
Mkuu nashukuru kwa taarifa hiyo.
 
Back
Top Bottom