HELA ZA MAKINIKIA.

HELA ZA MAKINIKIA.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Naamini nyote mu wazima na mnamatumaini tele na hizi pesa za makinikia. Wengi wanasubiria Noah zao pale.
Tafadhali naomba kila mmoja aseme atapenda kuzitumia vipi pesa zake za makinikia,maana tukigawana Noah tu barabarani itakuwa shari.
Mimi nitalipa mahari kwa yule mchumba wangu,kwanza,zinzobaki naanzisha mradi wa kufuga kuku wa kienyeji.
Haya karibuni.
 
Nitaongeza sabuni katoni zima Kwa ajili ya wana CHAPUTA
 
Back
Top Bottom