Hela za Mama Abdul hela za Mama Abdul, ni Uhuni!

Ni uhuni. Watu wanasema watakups hela ujenge Chama kumbe wanakupa hela ndogo tu umpe mke wako akanunue kitoweo.
Matrilionea wa CCM walpomuahidi hela Lissu,,walimpa hela ngapi?
 
Chadema itafia mikononi mwa Lissu!
2025 hana uwezo wa kupata diwani hata mmoja
 
Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela?

Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe?

Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu gia hii kumchafua Mbowe ili aingie Madarakani?
Kwani kuna kampeni sahivi? utasubiri sn
 
Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela?

Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe?

Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu gia hii kumchafua Mbowe ili aingie Madarakani?
Unataka afanye nn, takukuru wanaolipwa mishahara na umma wamekaa ofisini wanakuna vitambi unataka lisu awabebe awapeleke kisutu?
 
Mnatafunana wenyewe kwa kujenga makundi kwenye chama chenu, Kisha mahasimu wenu wanawaweza.

Unganisha nguvu lengo liwe kuitafuta nchi ya ahadi au hamjachoshwa?
 
Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela?

Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe?

Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu gia hii kumchafua Mbowe ili aingie Madarakani?

Kappa? Kwani Bado unaishu nchi isiyofikiwa na internet na tv? Ni agenda tu zimebadilika, ila Kama moto kweli, Abdul ni strategy ya kushinda uenyekiti
 
Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela?

Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe?

Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu gia hii kumchafua Mbowe ili aingie Madarakani?

Mama Abdul kaamua kumfanya Dr. Slaa kuwa Mbuzi wa Kafara.
 
Mnajitahidi kumbeba ila mbereko lake gumu, tena siyo mtanzania, akisikia mlio wa risasi tuu mtamkuta ubelijiji.
 
Mamndenyi :Mambo ya siasa siku hizi uko vizuri,ila ushauri mambo ya ndoa umepoa sana😔
 
Back
Top Bottom