Hela za Mama Abdul hela za Mama Abdul, ni Uhuni!

Ni uhuni. Watu wanasema watakups hela ujenge Chama kumbe wanakupa hela ndogo tu umpe mke wako akanunue kitoweo.
Matrilionea wa CCM walpomuahidi hela Lissu,,walimpa hela ngapi?
 
Chadema itafia mikononi mwa Lissu!
2025 hana uwezo wa kupata diwani hata mmoja
 
Kwani kuna kampeni sahivi? utasubiri sn
 
Unataka afanye nn, takukuru wanaolipwa mishahara na umma wamekaa ofisini wanakuna vitambi unataka lisu awabebe awapeleke kisutu?
 
Mnatafunana wenyewe kwa kujenga makundi kwenye chama chenu, Kisha mahasimu wenu wanawaweza.

Unganisha nguvu lengo liwe kuitafuta nchi ya ahadi au hamjachoshwa?
 


Kappa? Kwani Bado unaishu nchi isiyofikiwa na internet na tv? Ni agenda tu zimebadilika, ila Kama moto kweli, Abdul ni strategy ya kushinda uenyekiti
 

Mama Abdul kaamua kumfanya Dr. Slaa kuwa Mbuzi wa Kafara.
 
Mnajitahidi kumbeba ila mbereko lake gumu, tena siyo mtanzania, akisikia mlio wa risasi tuu mtamkuta ubelijiji.
 
Mamndenyi :Mambo ya siasa siku hizi uko vizuri,ila ushauri mambo ya ndoa umepoa sana😔
 
Ukiambiwa utaje yale ambayo Lissu amempakazia uongo FAM wakati wa kamapeni unabaki kukasirika na kutoa maneno ya ovyo ovyo, umebaki mpiga kelele bila vielelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…