Hela za MCC ni makusanyo ya masaa matatu tu kwa TRA

Acheni utaahira wa kutetea mambo ya kijinga,yaani TRA wanaweza kukusanya trilioni moja na milioni 40 kwa masaa matatu?Kichwa chako ni kizuri kweli?Na kwa mwezi wanakusanya sh ngapi?Una utindio wa ubongo wewe?
 
Kama MCC ina mashart magumu na ya ajabu kwann mliomba ?? Na kama REA haijawahi kuhusika na pesa za MCC mbona toka hawali tunaambiwa pesa za REA zinatoka MCC na hawajawahi kukanusha.au unataka kutuambia pesa ya Mcc ilikuwa inaingia mifukoni mwa wachache ndio maana mnaona hamna faida nazo , kama misaada haifai na haiwasaidii mbona mnaendelea kuomba na kupokea na kwenye budget ya 016/017 bado mmeweka pesa za wafadhili.Acheni utapeli wtz kwa sasa tunaakili na tuna machungu na nchi yetu
 
Hawa ccm wamechoka kuongoza wa Tanzania ni bora wakakaa pembeni wajifunze kwa wanaojua. Bila hiyo MCC vijiji vingi Tanzania wasingezifahamu hata hizo nguzo za umeme. Kwa mfano vijiji vingi vya mkoani morogoro nguzo za umeme wamezioni kutokana na kuwepo kwa mradi huu, hivo tangu Uhuru mpaka sasa hawaujui umeme ulivo .
 
Labda isemwe hivi, bajeti ya 16/17 ni tirioni 39.5. kati ya hizo misaada ni titooni 12. hela ya MCC tulionyimwa no trioni 1.4 ndio watu wazima wanavimba shingo ati nchi itayumba.
Wapeni basi vijana wetu mikopo ya elimu ya juu, utanzania na ufaulu ndio vigezo, mbona mnazungukazunguka!!???
Mmesema pesa ipo shida nini, Roho mbaya ya nini???
 
Wapeni basi vijana wetu mikopo ya elimu ya juu, utanzania na ufaulu ndio vigezo, mbona mnazungukazunguka!!???
Mmesema pesa ipo shida nini, Roho mbaya ya nini???
Ulikuwa umesinzia?
 
Wewe unaota kuwa mimi nimesinzia, ambacho hujui ni kuwa wewe umelala fofofo.
itajulikana nani yupo fofofo, anayefunua kaburi la mzoga ulioisha decay na mimi niliyeshiriki kuuzika
 
Mkuu kama bado unaamini andiko lako basi TUENDELEE NA UDAHILI WA WANAFUNZI .
 
Labda isemwe hivi, bajeti ya 16/17 ni tirioni 39.5. kati ya hizo misaada ni titooni 12. hela ya MCC tulionyimwa no trioni 1.4 ndio watu wazima wanavimba shingo ati nchi itayumba.
Hiyo tri 1.4 gawanya kwa miaka 5 ni bilioni 200 kwa mwaka 2016/17. Ndogo sana hiyo MCC support
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Tetemeko la kagera limewadhalilisha wote waliojifanya wanajua kumbe ni mbumbumbu wa kutupwa !

Tetemeko limefanya tuombe hata visivyoombeka , mpaka leo bado sijajua mfuko wa maafa wa serikali ulitoa tsh ngapi ?

Mungu wabariki wazungu .
 
Reactions: Gut
Hiyo tri 1.4 gawanya kwa miaka 5 ni bilioni 200 kwa mwaka 2016/17. Ndogo sana hiyo MCC support
Tungenyimwa misaada kwa sababu ya kupinga ushoga ingekuwa ushujaa , lakini kunyimwa kwa sababu ya kusigina katiba na wizi wa kura ni aibu na fedheha kubwa mno !
 
Tungenyimwa misaada kwa sababu ya kupinga ushoga ingekuwa ushujaa , lakini kunyimwa kwa sababu ya kusigina katiba na wizi wa kura ni aibu na fedheha kubwa mno !

Tumetofautiana. Mimi naongelea mahesabu ie uchumi wewe unaongelea siasa. Numbers never lie (like politics). Mbona huko marekani yapo natatizo ya ubaguzi democracy gani hiyo
 
Soma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…